Maji ya AC yanafaa kuoshea vyombo na kufulia?

Kuna mtu hapa kaongea kitaalam sana landa inaweza kuwa na ukweli ndani yake kuwa hayafai kabisa.. ndio maan tunasema jf ni kila kitu

zaga ameeleza kitaalam sana,
Zingine zitabaki story tu!
Heko kwako mr mhandisi zaga
 
Last edited by a moderator:
Bado nahis siyo salama sababu gass zinazotumika R22 na r407 zina amonia ndani yake ambayo kiafya si rafiki

Kama hujui ni bora kupita tu,kwenye friji ukiweka matunda nayo sio salama,?kwa kuwa gas inapita kwenye everporetor?
 
Maji hayo yanatokana na hewa inayo tuzunguka.Hivyo ni maji kama ya mvua ila tofauti ndani ya A/C sio pasafi maana yana dondoka toka kt. Condensor na kutua katika bati la A/C ndani ambamba pana mwinamo au kifereji hadi kt. bomba litoalo nje ya A/C hivyo sawa na kusema huwezi kupasafisha mpaka service hivyo sawa na bati za nyumba ndege uweza kunyea.Hivyo kuyachemsha ni solution ya kuweza kuyatumia kama ni A/C yako husafishwa kwa ndani mara kwa mara na ikiwa haina kutu.
 
Iko hivi mkuu,maji yanatoka kwenye everporeter ndani,condenser ipo kwenye outdoor ambayo inabadilisha gas na kuipoza kutoka vepa na kuwa liquid.
 
Kama hujui ni bora kupita tu,kwenye friji ukiweka matunda nayo sio salama,?kwa kuwa gas inapita kwenye everporetor?

sometime mnakuwa wabishi kama pu*bu za farasi iz not safe read more article about it.kunywa siyo safe.
 
Mimi naona maji hayo ni masafi ila sishauri yakatumika kwa matumizi kama kunywa au kupikia...
 
Maji hayo yanatokana na hewa inayo tuzunguka.Hivyo ni maji kama ya mvua ila tofauti ndani ya A/C sio pasafi maana yana dondoka toka kt. Condensor na kutua katika bati la A/C ndani ambamba pana mwinamo au kifereji hadi kt. bomba litoalo nje ya A/C hivyo sawa na kusema huwezi kupasafisha mpaka service hivyo sawa na bati za nyumba ndege uweza kunyea.Hivyo kuyachemsha ni solution ya kuweza kuyatumia kama ni A/C yako husafishwa kwa ndani mara kwa mara na ikiwa haina kutu.

Upo vizuri Mr. Moses ,wengine wameanza kwenda nje ya swali.
 
process ya kuyatengeneza hayo maji sio salama kwa kuwa inainvolve refrigerant ambayo ni sumu ingawa condensation inatokea nje ambayo haigusani na hiyo refrigerant lakini wakati mwingine zingine zinavuja na inaweza kuingia kwenye huo mfumo na kuungana na hayo maji, kwa kifupi kwa kupikia au kunywa haifai na hairuhusiwi lakini matumizi mengine sio mbaya isi involve chemical zozote
 
Dr. Kunzman King upo sawa sababu hatujui ni muda gani A/C zita haribika na kuvuja gesi
 
Safi sana Dr Kunzman King nimekuolewa sana na umetoa jibu aisee... ubarikiwe sana kiongozi
 
Back
Top Bottom