Maji Uhai yapanda bei kwa kasi ya ajabu.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Jamani hii speed ya upandishaji wa bei ya maji ya uhai inatisha. Hivi mbona wanatuchukulia poa sana hawa watu sisi watz!!!! Mwaka jana mwishoni uhai lt 6 ilikuwa 1400, then mwezi baadaye ikapanda mpaka 1600. Cha ajabu week ilopita yamepanda mpaka 2200. Yaani huu uongozi wa ccm hii nchi imewashinda na natamani wote wafe ili tupate viongozi bora haijalishi wanatoka chama gani. I hate from my heart this JK's gvt.

Hivi hii nchi tunapelekwa wapi jamani? Maisha magumu hivi tutakimbilia wapi sisi?
 
Acha mkuu lita moja sh 600-1000 na yale madogo kabisa 350mil ni sh300 na yale ya 500mil ni sh400 hayo ya lita 6 nimenunua jana huku kwetu ni buku 2000 ila miezi iliyopita tulikua tunanunua kwa 1200 tena ya baridi kabisa hii ndio tz
 
Jamani hii speed ya upandishaji ya bei ya maji ya uhai inatisha. Hivi mbona wanatuchukulia poa sana hawa watu sisi watz!!!! Mwaka jana mwishoni uhai lt 6 ilikuwa 1400, then mwezi baadaye ikapanda mpaka 1600. Cha ajabu week ilopita yamepanda mpaka 2200. Yaani hu uongozi wa ccm hii nchi imewashinda na natamani wote wafe ili tupate viongozi bora haijalishi wanatoka chama gani. I have from my heart this JK's gvt.

Hivi hii nchi tunapelekwa wapi jamani? Maisha magumu jivi tutakimbilia wapi sisi?

Wanachangia CCM.
 
Na bado!!! ha ha ha haaaa!!!.

Magazeti juu.

umeme juu

gesi juu

Bia juu juu juu kabisa

Nauli juu

unga juu

...........
..........

............
 
Vyanzo mbadala vya mapato kwa serikali baada ya rosti tamu kumwaga mboga
 
Lita 18 refil ya Maisha imepanda kutoka Tshs 3800 hadi 5000. Nimeuliza Tsn bamaga wamwsema, kupanda kwa umeme, na kukataa bunge kupitisha punguzo la kodi kwenye maji chupa majuzi vimesababisha.
 
Sijui tukimbilie wapi kwa jinsi hali inavyozidi kuwa ngumu mtaani!
 
Na bado!!! ha ha ha haaaa!!!.

Magazeti juu.

umeme juu

gesi juu

Bia juu juu juu kabisa

Nauli juu

unga juu

...........
..........

............

sukari juu
mchele juu
mkaa juu
kodi za nyumba juu
mishahara chini chini chini zaidi
posho za wabunge juu
 
mtaani kwetu hata vibaka wamepandisha dau....hawakabi chini ya buku tano.....yani wakikupa roba, kama huna cash from 5,000 tsh, wanakupa ngeu ili ukaitibie kwa the same amount...

Chezeya vibaka wa mtaani kwetu wewe!!!
 
nyanya juu
mchicha juu
dagaa la mwanza juu
viazi mbatata juu
kihepe juu
yai juu
supu juu
mchemsho ndo soo
tunakua kama wakimbizi kwenye nchi yetu wenyewe
 
KUNA PRICE CARTEL INAFANYWA NA MAKAMPUNI YA BONGO

Na kingine mimi nazani makampuni mengi ya tanzania yanajiamulia kupandisha bei kiholela sana sijui wanatumia njia zipi kupanga bei kuna Price carter inafanywa hapa kitu ambacho ni kinyume na sheria za ushindani

Kitendo cha makampuni yanayo fanya biashara zinazo fanana kupandisha bei kwa wakati mmoja ni kwamba walisha fanya mazungumzo zamani sana kwamba wapandishe bei. na hata hili la magazeti ni na uhakika kuna maungumzo na mengine utaanza kuyaskia siku chache zijazo.

Na hii inawezekana Tanzania kwa sababu kampuni nyingi sana hapa bongo bado ziko katika mtindo wa oligopolistic industry hawa ndo wanafanya hizi cartel hapa bongo.

1. Viwanda vya bia ni oligopoly

2. viwanda vya new paper ni olligopoly

3. Viwanda vya sukari

4. viwanda vya sement
5. Viwanda vya vinywaji baridi Pepes na cocacola

Hawa na wengine wengi wanafanya cartel za price na hiki ni kinyume na sheria za ushindani na serikali iko kimya kabisa makampuni yakifanya uhuni wa kufa mtu
 
tuliposikia gharama ya umeme imekwenda juu tulitegemea tunayoyaona maana lazima uzalishaji ungekwenda juu na ili mfanyabiashara apate faida lazima amuumize mlaji kila kitu kimepanda bei hakuna unafuu kwenye chochote.
 
Na bado!!! ha ha ha haaaa!!!.

Magazeti juu.

umeme juu

gesi juu

Bia juu juu juu kabisa

Nauli juu

unga juu

...........
..........

............

Nasikia hata Madada Poa Wamepandisha Bei na majuzi waliandamana hadi ikulu wanadai wananyanyaswa na Polisi...

Panda panda Bei kila kitu kinapanda bei...

Chips mayai siku hizi inaanzia 2,000/= to 2,500/=
Nimeona bora niwe nakijika tu The Chef buku 3 msosi heavy saa nne usiku lol
 
Yaani huku kwetu segerea wakuu hali ya maisha imekuwa ngumu sana. Nyanya 2 gengeni ni sh. 500 can you imagine...maharage kg 1800, samaki mimi nilishaacha kula maana hawagusiki, yaani nyanya moja bei ya chini ni sh. 200. Natamani kuhama hii nchi.
 
Back
Top Bottom