Wewe naona unautani na TBS na ISO! Huyatumia sana maji ya Uhai ni maji bora kabisa. Napata sio chini ya lita mbili kila siku , wewe naona uliuziwa yanayoandaliwa vichochoroni.Utadhàni kuwa yamechotwa baharini, maji ya kunywa ya Uhai yana ladha ya chumvi nyingi isiyofaa kwa kunywa na kutuliza kiu TFDA na tbs mko wapi?
ila kama unataka maji ya kunawa uso, kupiga mswaki, kunawa mikono, kusukutua, kushusha/kupandisha pH ya mwili, kuponya kiungulia, n.k. basi nunua hayo yenye majina mengine. Lakini maji ya kunywa ni colorless, odorless, tasteless, shapeless. Yanatumika katika kukata kiu ya mtu mwenye kiu.
Haya ndio tunayosema muache kukariri, pH unajua ni nini? Kwa taarifa yako kuna maji yana pH mpaka 10.
hebu tujuze vizur hapo wengi umetuacha,ph mpaka kumi ni nini acid au base?
Kama umeigundua adha ya maji ya uhai kwamba hayana ladha basi tumia mwanya huo kuwa in fursa ya kuanza kufanya biashara hiyo ya kusindika maji.Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
kwa hiyo wanaotumia wote ni wajinga!!Siku zote unadhani kuwa watu wote wanatumwatumwa ovyo kama wewe ulivyo, utazikwa na pesa? jali maisha ya wenzio utapata thawabu kwa mungu. Kama kitu hakifai rekebisha kifae ili kitumike kwa watu wote. Ikulu na wabunge sio wajinga kuacha kutumia maji Uhai, yana kasoro.
pH 10 inakuwaje acid? Kwa pH level 7 ni neutral, chini ya 7 ni acidity na zaidi ya 7 ni basic (alkaline). Na mwili unahitaji alkaline zaidi (ku-neutralise acids).
"pH of Drinking Water;
Although the pH of pure water is 7, drinking water and natural water exhibits a pH range because it contains dissolved minerals and gases. SURFACE WATERS TYPICALLY RANGE FROM PH 6.5 TO 8.5 WHILE GROUNDWATER RANGES FROM PH 6 TO 8.5. WATER WITH A PH LESS THAN 6.5 IS CONSIDERED ACIDIC. This water typically is corrosive and soft. It may contain metal ions, such as copper, iron, lead, manganese and zinc. The metal ions may be toxic, may produce a metallic taste, and can stain fixtures and fabrics. The low pH can damage metal pipes and fixtures."
http://chemistry.about.com/od/ph/f/What-Is-The-Ph-Of-Water.htm
Mimi jana nilikunywa maji kilimanjaro yana sukari utadhani yamezalishwa mtibwa!!!.kweli TFDA Inabidi wawe makini sana haya maji ya kilimanjaro yatatuua!
bukoba boy,na Maji Ya Kilimanjaro Yanatumika Sana Makanisani Hasahasa Wafuasi Wagwajima Ndo Wanywaji!Hayo maji yanatumika sana misikitini zaidi.