Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..
Kunywa sayona
Wewe ndo wasema kuhusu Kilimanjaro, jaribu peleka dasani/uhai Ikulu ukawape somo hilo uone kama hutarudishwa nayo getini. Hivyo dasani yako iliwahi kupata skendo ya ubora ikapigwa chini umesahau mkuu?
Hebu jaribuni kuona haya basi.Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
Ili lijamaa Lina ajenda Fulani ya km udini naisi Na kuharibu business za wawekezaji wazawa,,,----- maji ya uhai ndo tunayokunywa uswahilini daily Na hamna iko asemacho
Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..
Hayo maji yanatumika sana misikitini zaidi.
Hayo maji hayana ladha kabisa, hata ukiangalia hafla mbalimbali za kiserikali huwezi kuyaona huko
Unaijua Dasani kimataifa? Viwanda vya bongo ndio vilitaka kuharibu jina. Anyway, swali langu lilikuwa ni kuhusu eti maji yote ya chupa yanapaswa kuandikwa just 'drinking water', habari hiyo umeipata wapi?
Angalia pH ya maji ya UHAI NI >7,Maji ambayo exactly pH 7 nilioyaona mimi ni Maisha ya Mohamed Interprises(METL).Chukua hatua,Badilika
mmetumwa na mengi au mo dewji?
Haya ndio tunayosema muache kukariri, pH unajua ni nini? Kwa taarifa yako kuna maji yana pH mpaka 10.
Google:
WHO's drinking water standards
Hata hivyo kwa wakati huu kama wewe yanakufaa endelea kunywa, anayeona yana kasoro atafute mengine ila walaji walindwe