kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
A True story: siku moja nilitembelea afisi moja ya mmojawapo wa wamiliki wa kampuni zinazotengeneza maji ya kunywa ya chupa (sio uhai), mmmh nilishangaa kuona mezani kwake yako maji ya kunywa ya chupa ya kampuni nyingine, nikashikwa na butwaa kwanini yeye mwenyewe hanywi maji ya kampuni yake. Nilipomuuliza yule ambae alinisindikiza kwenye afisi ile ambaye ni fundi umeme wa kampuni ile ya kutengeneza maji akasema bosi wao (owner) hajawahi hata kuyaonja maji yake. Wewe unaonaje tukio kama hili?