Maji na umeme Dar es Salaam

Maji na umeme Dar es Salaam

Babu Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
843
Reaction score
1,473
Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya:

Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi
Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali ikiwemo mishahara na marupurupu yao tunateseka hatuna maji wala umeme

PS;kila dakika mamiliono ya lita za maji yanamwagika baharini na ni utashi na teknolojia ndogo kukuletea sio MRI na EEG kijijini kwa Madelu
 
Aweso plus his CEO have outlived their usefulness. They are very good at creating drama. Maneno mengi na kufanya kazi kwa mazoea. You don't have a contingency plan. The same thing has happened before. I believe their contingency plan is to pray
 
Serikali inakosa mapato umeme kukatika. Maji ni uhai Karne hii tatizo la maji haliwezi kuwa sugu. Hapa kwangu hakuna maji week mzima.
 
Back
Top Bottom