Maji mekundu yanahitajika fasta

Maji mekundu yanahitajika fasta

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,795
Reaction score
1,952
habari za muda huu waungwana.
kuna jamaa yangu amekuwa akiniuliza kama kuna mtu nayemfahamu mwenye maji mekundu(mercury) yenyewe anahitaji bei poa. Sasa mwenye hiyo kitu anicheki pm.
 
Dadadeki walahi, kuna jamangu anayo morogoro. Nilitafuta soko mwaka 2011 nikakosa nikakata tamaa. Sasa simu imepotea sina hata namba. Duh, mbuzi wa maskini hazai.
 
Utatapeliwa

Achana na hayo mambo
Narudia tena utatapeliwa na kulizwa

Utapoteza muda,pesa na kila kitu
 
WAJINGA HAWAISHI LABDA BAHARI IKAUKE

OVA
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yanatumika kwenye nini........?....
 
Yanatumika kwenye nini........?....
 
Hii mambo inaliza watu wengi sana aiseee.

Kama unayataka nenda umasaini kule, kuna sehemu huwa wanafanya matambiko yao ya kimila, ukizungumza vizuri na wazee wa kimasai wanakupa mzigo.

Tatizo ni moa tu, maeneo hayo hutawaliwa na mashetani yaliyokunywa damu sana, ukienda kichwa kichwa unarudi si mtu, wananyofoa roho wanaweka shetani ndani ila hela unapata..
 
Niunganishe na Hao masai
 
Back
Top Bottom