KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
Kumbe Hawa wamba wapo kitambo Sana
Hiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Muda unatutoroka na kutuvurugaHiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Haha haha hah, Morocco palikuwa na mbuyu mkubwa sana, usiku mizimu inaongeaHiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Aisee...
Christmas TreeKipindi icho.
View attachment 3127144
Ila simu zilikuwepo tayari mkuu!Kipindi hicho hakuna hata namba ya simu
Hoja muflisiWavaa kobazi na uganga ni uji na mgonjwa
YerewiiiiWavaa kobazi na uganga ni uji na mgonjwa
Kwani wavaa kobazi ni watu wa aina Gani? Huwa naona Wamaasai ndio huvaa kobazi na ndio wauza dawa maarufu hapa mjiniHoja muflisi