Maji Marefu CHUPU CHUPU

Nimefrahishwa mganga wa kienyeji kutumia lap top

Huenda siyo laptop unayoijua wewe maana hawa jamaa huwa wana vitu vya ajabu, hujawahi soma mabango yao wakijitangaza kwamba wanatibu kwa kutumia tv? Harafu unafika unakuta hiyo tv ni beseni limewekwa maji wakati ulitegemea kukuta plasma au lcd?
 
Inasemekana ni yeye mwenyewe alituma watu watangaze kuwa amekufa then atokee baada ya masaa mawili. aliowatuma akawapa posho ndio wanasema hayo. sasa najiuliza hawa wabunge wa ccm wanatumia .....kufikiri au!
 
Back
Top Bottom