Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
Mbona zamani hakuwa hivyo? Ilikuwa tu kimya kimya sasa siku hizi fyoko fyoko, mmmh!
Zamani?! unajuaje, maana zamani huku/hatuku-wepo.
Mbona zamani hakuwa hivyo? Ilikuwa tu kimya kimya sasa siku hizi fyoko fyoko, mmmh!
Ukiona maji yamezidi, chomeka mrija fyonza uteme pembeni, uanze upya.
Tumsaidie kwa ushauri mzuri na siyo mizaha mizaha!Ukiona maji yamezidi, chomeka mrija fyonza uteme pembeni, uanze upya.
Tumsaidie kwa ushauri mzuri na siyo mizaha mizaha!
hata huo pia ni ushauri.
Lol....nimecheka sana!Ukiona maji yamezidi, chomeka mrija fyonza uteme pembeni, uanze upya.
hah aha hah U made my day mkuu.
Ungejua ninavyoipenda hiyo!!!!!! halafu eti wewe unaitafutia dawa! Acha ndugu hiyo inaitwa 'FYOKO FYOKO'
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ungejua ninavyoipenda hiyo!!!!!! halafu eti wewe unaitafutia dawa! Acha ndugu hiyo inaitwa 'FYOKO FYOKO'
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ikilia "Fyoko fyoko" ndo manake namfikisha eenh, sikujua hili! Asanteni sana na mbarikiwe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo Mkuu ni timu mbili either timu kiba au timu bwawaTatizo hili la kuwa na majimaji ukeni husababishwa na nini? Utakuta upo na mkeo mnafanya tendo la ndoa halafu katika "in and out" unasikia sauti "chubwi chubwi" kutoka ukeni. Kwa yeyote anayejua dawa ya hili tatizo/hali hii atusaidie? Nawasilisha!