MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,142
- 35,584
Wengine tumeshachoka kubishana na uongo mweupe kama huu. Hizi hadithi ni tamu kwa wasiojua historia ya Kanisa.
Huwezi amini porojo hizi wanafundishwa hadi wachungaji kwenye shule zao! Ukitoa makanisa makubwa kama Lutheran, Anglican n.k haya ya kiroho wanawekwa darasani na kujazwa maungo kama haya juu ya Kanisa Katoliki.
Mtu anajazwa huu uongo alafu hajiangaishi kuchimba kweli. Kweli ipo na siku hizi hata Google inaweza kukusaidia.