Majeshi yetu Anzieni hapa

Majeshi yetu Anzieni hapa

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Ili kutimiza agizo la Raisi kikwete kuwaondoa wahamiaji haram naomba majeshi yetu yaanzie kwenye makampuni makubwa ya sim Maana kunawakenya wengi sana kule na hawanavibali vya kuishi hapa kwetu. Pia wapite kwenye maviwanda ya wahindi utakutana na wahindi wasiokuwa na passport. Naomba tufanye haraka hii itasaidia kuongeza ajira kwa wazawa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
...yeah Wakenya kibaooo hawana work permit....pia wahindi wanaletana na Jeshi lianze msako wa nguvu...na aliyepata work permit alipataje...aonyeshe ...na ithibitishwe.... SASA NI KUFUKUZA WOTE WAHAMIAJI HARAMU...UWE MRWANDA ..MKENYA..UGANDAN..INDIAN....FUKUZA WOTE...TIME IS UP...
 
Sure. Timua aliens wote maana wakidhafanikisha malengo yao wanatuona watz hatuna akili na tunawashobokea. Wako pia wazungu ambao hawana sifa za kuja Tz. Hapo namkubali JK
 
Wahindi wamezidi.......wapo wengi sana.......wao cha kufanya.......watushirikishe wananchi ili tuwaeleze wote walipo.......wao wenyewe kujua itakuwa ngumu......watupe utaratibu tumimine data.......tukiwaambia uhamiaji......wanakuja kuchukua rushwa wanawaacha......ili waje kuchukua nyingine kesho yake.........sisi tunawajua na tunawaona.......
 
Ili kutimiza agizo la Raisi kikwete kuwaondoa wahamiaji haram naomba majeshi yetu yaanzie kwenye makampuni makubwa ya sim Maana kunawakenya wengi sana kule na hawanavibali vya kuishi hapa kwetu. Pia wapite kwenye maviwanda ya wahindi utakutana na wahindi wasiokuwa na passport. Naomba tufanye haraka hii itasaidia kuongeza ajira kwa wazawa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

duh iyo nzur afanye tena mapema sana kwa maana tumewachunia wametuona kama ce wajinga ss ni kuwaondoa mwanzo mwisho c wazungu,wahind,wakenya,uganda,malawi,burundi,na kwingineko waondoke tu kwanza ndo hao ambao wanatubania hata ajira kwenye nchi yetu ........nzuri iyo jk
 
pale uhamiaji wanatusaliti sana, pale ndo pa kusafisha kwanza na tuuchunguze muundo na mfumo mzima uliopo sasa ili tuweze kutengeneza kitu kinachooeleweka. wao walichoongeza sasa hivi ni ukiritimba katika kupata work permit sisi tunachotaka ni kuwaondoa wahamiaji haramu, kweli ni aibu jamani nyumba yetu tanzania haina mlango hata limbukeni wa aina gani anaingia. wao wanafukuzana na wazungu ambao wamekuja kihalali ila wanawawekea uzibe wa kupata permit matokeo yake miradi inazorota. tunachotaka ni kuzuia hawa wanaoinigia kiholela
 
Mi nilikuwa naumia kichwa sana kwa suala hili, nashukuru JK umeliona hili. Anza na Wanyarwanda
 
Wahindi wamezidi.......wapo wengi sana.......wao cha kufanya.......watushirikishe wananchi ili tuwaeleze wote walipo.......wao wenyewe kujua itakuwa ngumu......watupe utaratibu tumimine data.......tukiwaambia uhamiaji......wanakuja kuchukua rushwa wanawaacha......ili waje kuchukua nyingine kesho yake.........sisi tunawajua na tunawaona.......

Huku Kiwalani ndo wamejazana kwenye maghala mpaka basi, wanatoka jpili tu wanaenda beach na kurudi kujifungia ndani.
 
Jamani ndo mambo ya international relationships, sasa kama viongozi walisha sign memorandum of understanding with those countries, tunataka kupandia hapo kusolve tatizo la ajira? we have so many mega bilion projects which can creat milions of employments e.g. rehabilization of central railways, Tazara, and so on.
 
jamani hili zoezi litafika mpaka dar au linawahusu watutsi peke yake? maana hapa dar ndo hapafai kwa wahamiaji haramu
 
Wabongo kama wasingekuwa wabafiki wangefanya Kama south walivyowafanyizia wageni.
But sisi ndo tunawakaribisha na kukaa nao then tunaanza kulalamika eti wanaziba nafasi za ajira.
 
Wabongo kama tusingekuwa wanafiki tungefanya kama South walivyowafanyizia wageni.
But sisi ndo tunawakaribisha na kukaa nao then tunalalamika eti wanaziba nafasi za ajira.
 
...yeah Wakenya kibaooo hawana work permit....pia wahindi wanaletana na Jeshi lianze msako wa nguvu...na aliyepata work permit alipataje...aonyeshe ...na ithibitishwe.... SASA NI KUFUKUZA WOTE WAHAMIAJI HARAMU...UWE MRWANDA ..MKENYA..UGANDAN..INDIAN....FUKUZA WOTE...TIME IS UP...

braza unaongea point daily!tukutane conner bar nikupe offer!!
 
Tangazo la JK linawahusu wanyarwanda tu. wahindi serikali wameiweka mifukoni mwao haifurukuti
 
UHAMIAJI ndio kumeoza. Wahindi, wachina na wageni wengine wanapewa "working permits" pasipo hata kutia saini.

Pale akiba Dar, pale makao makuu ya Mambo ya ndani, pale Samora nyuma, hapa ofisi ndogo ya uhamiaji Nyerere jirani ya mnazi mmoja, na sasa kule kurasini...yaani nawajua washkaji zangu kibao wanapiga dola kwa kuchezesha dili za kuwatafutia working permits na kuwafanyia renewal ya working permits zao.

Nawajua wahindi na wanyarwanda wengi sana wasiokuwa na vibali hapa nchini, tena Mwanza na Dar ndo usiseme.

Central govt ishughulike zaidi na Uhamiaji, yaani idara hiyo ibanwe vilivyo.

JK: tafadhali tupatie links tusaidie TISS na idara zako nyeti tuwamwagie mambo yaliyopo na yanayojiri, data tunazo na tuwaelekezeni walipo mjionee madudu ambayo yanaligharimu taifa sasa.

Ukienda pale Mbeya hususan wilaya ya Chunya na maeneo ya Makongolosi, matundasi, Saza, Mkwajuni...huwezi kuamini yaliyopo huko. Wazambia, Wazimbabwe na wachina wamejazana mno kule na siku hizi wanaongea viswahili na huwezi kuwakuta Dar au Mwanza. Wapo na tunawajua fika.

Tuwekeeni links kama alizotuwekea RC wa Geita, ila muweke na emails bana tuwasaidie sisi wananchi.
 
Haya matamko ya wanasiasa ni kiini macho tu...wahamiaji haramu hawajaanza leo na ajabu ni kwamba wengi wao wanaishi kwenye nyumba za serikali (NHC)...
 
hasa huko yeada chini

:A S 103: utatumalizia nukta zetu, umetumia sana, lol mzima wewe lakini. niko kwa watani nipeleke salamu kiericho?:tape:

Wahindi wamezidi.......wapo wengi sana.......wao cha kufanya.......watushirikishe wananchi ili tuwaeleze wote walipo.......wao wenyewe kujua itakuwa ngumu......watupe utaratibu tumimine data.......tukiwaambia uhamiaji......wanakuja kuchukua rushwa wanawaacha......ili waje kuchukua nyingine kesho yake.........sisi tunawajua na tunawaona.......
 
pale uhamiaji wanatusaliti sana, pale ndo pa kusafisha kwanza na tuuchunguze muundo na mfumo mzima uliopo sasa ili tuweze kutengeneza kitu kinachooeleweka. wao walichoongeza sasa hivi ni ukiritimba katika kupata work permit sisi tunachotaka ni kuwaondoa wahamiaji haramu, kweli ni aibu jamani nyumba yetu tanzania haina mlango hata limbukeni wa aina gani anaingia. wao wanafukuzana na wazungu ambao wamekuja kihalali ila wanawawekea uzibe wa kupata permit matokeo yake miradi inazorota. tunachotaka ni kuzuia hawa wanaoinigia kiholela
Hao uhamiaji pia wachunguzwe maana wao ndo wanahusika kuwapitisha wanyaru, lazima na huko wanyaru watakuwepo tu
 
Kweli tunahitaji links tusaidie majeshiyetu kupeleka taarifa nyeti

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wageni kuishi nchini bila utaratibu ni hatari kwa taifa, nchi yetu kwa muda mrefu imekuwa kimya kana kwamba jambo hili ni dogo na halina maana, hapa inatakiwa msako nchi nzima, lakini pia Uhamiaji waliohusika wasiachwe, nao wawajibishwe kama kweli Serikali imekerwa na hili tatizo la wageni holela.
 
Back
Top Bottom