Andersy
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 586
- 143
ngoja siku nchi ivamiwe ndio utajua umuhimu wao,fursa za wanajeshi haziko Tz ata nchi zilizoendelea.Wajeda ni watu muhimu sana kwenye nchi wako tayari kujitolea kufa ili wewe usalimike
Bila wajeda Malawi angekuwa ameshajitwalia mkoa wote wa Mbeya na angeanza kudai Iringa pia ni ya kwake nasi tungebaki kimya,
Hali kadhalika Kagame alivyozinguana na Kikwete angekuwa amesha tuonyesha adabu zamaaani!!!
Sijui Museveni angefanya nini.
Ila kifupi majirani zetu wangeigawana Tz haraka sana...
na hata vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaweza kuibuka kirahisi sana kama hakuna wajeda.
Kitendo cha mjeshi kuonekana ,,,,yote hayo yanajinutralize yenyewe.