Asili Tanganyika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 571
- 82
Mshahara wa askari private kabla ya kukatwa kodi ni Tshs 170,000 approx. Na allowance ya chakula kama Tshs 50,000 hivi kwa mwezi! Ofisa wa ngazi ya chini ni sh 350,000 kabla ya kodi!!! Huko ni kulipwa vizuri??? Na Jenerali ana 1.5M, gari + extra allowances whats the difference nafikiri mishahara mizuri ni ya wanasiasa sio wanajeshi. Hawasemi kwa vile ndio maadili yao lakini hawana amani hata kidogo na hawana wa kuwasemea, Hata wabunge wanakwenda maeneo ya wanajeshi wakati wa campaign tu then mbunge gani ulimsikia akitetea maslahi ya wanajeshi? Viongozi wao ni mabilionea, remember Mb..ma with meremeta na Tanzanite + Wa...tara ni mwenye pesa nyingi sana lakini wanajeshi sasa hata kuipata kombati unatoa rushwa!
Hahaa Mzuzu kazini! Hakuna tamko rasmi wala sheria inayosema hawa majabari wakwende bure kwenye vyombo vya watu ila ni kwa kuutegemeza ujabari wao mbele ya waungwana wenye vyombo, ndipo wao wakajipatia uhalali wakutumia vyombo hivyo kana kwamba tuko katika zama za ujamaa,ni kweli askari wa chini ana hali mbaya ukilinganisha na maafisa wa ngazi za juu na ndugu zao majenerali,lakini hali duni hiyo ni nafuu kubwa ukilinganisha na watumishi wengine wa serikali kimapato,anyway theres no noble proffession,any proffession is noble!