prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,021
- 2,279
Ikiwa umepita mwezi mmoja tangu majeshi ya Russia kuvamia Ukraine uharibufu mkubwa umeonekana kuendelea kufanyika.
Kama Russia na majeshi yake yameshidwa kuyadhibiti majeshi ya Ukraine ni bora kurudi nyuma kuliko kutumia silaha nzito kwenye makazi ya raiyaa.
Tuwaombee amani watu wa Ukraine.
Kwa pamoja tunasema Putin sitisha vita Ukraine.