Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu

Hebu nitajie ni sector ipi hapa Tz ambapo hakuna ukiritimba wala urasimu na tena kuna wasomi KAMA WEWE. Halafu wewe ni msomi wa kiwango gani kwani.
 
Sawa. Ila hebu mtusaidie tujue ni taasisi gani hapa tz haina ukiritimba wala urasimu. Hebu mtujuze ili vijana wengi WASOMI kama MOLEMBE waombe huko.
 
Huyu ditanzani elimu ya kijeshi miezi mitatu nisawa nayamtu alie soma mlimani miaka minne ndoomaana mtu akiajiriwa jeshini elimu wanapokea vyetivyake tu hawapokei elimu yake wao wanampayakwao unakuta kama nimhandisi uraiani alikuwa anajenga daraja kwamuuda wa miaka mitatu akiwajeshini atakiwa kutumia siku tatu usiwadharau angalia foleni yawasomi wsnao ombakazi yajeshi
 
Mtoa mada haelewi anachosema wala maana ya jeshi nina hakika hajawah kuwa mwanajeshi na pia atakuwa na elimu ndogo sana ...jeshi haliwezi kuendeshwa kama bunge au shule na hilo jeshi analotaka halipo popote Duncan
 
Mtoa mada haelewi anachosema wala maana ya jeshi nina hakika hajawah kuwa mwanajeshi na pia atakuwa na elimu ndogo sana ...jeshi haliwezi kuendeshwa kama bunge au shule na hilo jeshi analotaka halipo popote Duncan

Ndo maana mnaonekana majeshi ni vilaza! Kwani huo mnaoukataa ndo ukweli japo unauma na bahati mbaya ukishaajiliwa kwenye hayo majeshi na hasa JWTZ unakutana na visitahili Vya vyeo. Unajiona umemaliza, unabweteka, unatumika kwa manufaa ya wenye sitahili zaidi yako(wakubwa zako) unaendelea kuishi kwa kujipendekeza hata dhidi ya Wenzako. Askari wa marekani na wale wa Tanzania na sawa na mbingu na nchi. Mifumo na masilahi ni tafauti kama mchezaji wa mchangani na wale wa daraja la kwanza.
 

Ipo siku utaujua ukweli badala ya kujifanya unajua saaana kuandika.
 

Mbona umeenda tofauti na mada mkuu, kweli duniani kuna shida
 

Hehehe, mkuu nenda chuo acha uvivu
 

Mkuu hao wenye elimu ndogo wataweza kurusha angani Mig21? wataweza kuukabili ulimwengu wa sayansi na tekno? au ni ukiritimba upi unaousemea? basi hebu tutajie angalau sekta moja hapa nchini isiyo na ukiritimba.
 

Aaaah taratibu mkuu hapo ndo unaanza kuharibu
 

Kwahiyo afande Mangu alimkimbiza jambazi gan?
 

Waliosoma WANAHESABIKA Ila MIPOPOMA Ndiyo IMELUNDIKANA Humo.
 

Unatumia kiroba original?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…