Tunahitaji majengo yanayofaa kwa chuo hapa DSM.Muhimu yawe ndani ya DSM,eneo tulivu lisilokuwa na kelele za watu au magari.Pia iwe rahisi wanafunzi kufika- liwe jirani na daladala zinapopita.
Pia kuna shule inakodishwa Mbezi Luis, ni ideal kwa pre and primary school, ilishaanza, ina Usajili halali, ina majengo vymba vinne vya madarasa, ofisi nk, miundo mbinu yake ni standard sana
Mkodishaji yeye ataanza kutafuta wanafunzi tu.
Tunahitaji majengo yanayofaa kwa chuo hapa DSM.Muhimu yawe ndani ya DSM,eneo tulivu lisilokuwa na kelele za watu au magari.Pia iwe rahisi wanafunzi kufika- liwe jirani na daladala zinapopita.Wasiliana na mm namba 0798 80 27 32.THANX
Haya ndio yale yale ya kile Chuo cha G Mboto kinacho hama hama kama kama mpaka wa Malawi na Tanzania,mara kipo kule mara saba saba. Shikamoo CCM kwa kuichezea Elimu ya Nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.