Mashabiki wa Mamelodi Tukutane hapa tutakaotinga na uzi wetu uwanjani

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Sema huu uzi kuna mda unanichefua flani ivi ila nikiona Kauvaa ZWANE, Nikisogeza jicho nikakutana na mnyama RONEN WILLIAM, kidogo na value yake inapanda naona naweza kuutupia kwa mkapa.

Tukutane hapa ambao tushaandaa uzi wetu kwa ajili ya shughuli ya kwamkapa. Uzi tunavaa na kwa mkapa tunaingia, Na Utopolo tumampiga kama ngoma, hakuna uzalendo kwa hawa utopolo, Mheshimiwa sisi tunapiga Pushup hapa.

Pesa ya kiingilio natoa mimi, Uzi nimenunua mimi alafu mnipangie pakuivalia aseeh.

Hii haipo, haitokaa itokee, Tukutane hapa wenye uzi wetu kwa ajili ya shughuli

Screenshot_20240320_141306_Instagram.jpg
 
UKISHABIKIA SANAAAAA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI zINAANZA KUYEYUKA.

Vijana Plz
Msipoteze Muda sana Kwenye mambo Simba na Yanga.

SIMBA NA YANGA NI MTEGO WA KISIASA KWA WATANZANIA.
 
Mimi mwenyewe sikuwa na uzi wa mamelodi lakini baada ya tamko la Mh naenda kuununua, ili nikauvae kwa mkapa nione nani wa kunikataza au kuniuliza passport.
 
Mimi ni mngoni asili yetu ni South Africa naachaje Sasa kuvaa Uzi wa ndugu zangu Mamelodi na kwenda uwanjani kuwasapot?

Huyo kichogo asitutishe bhan!
 
Ule msemo wa akili ni nywele, kila mtu ana zake nadhani una ujumbe wa mzito sana ndani yake.
 
Back
Top Bottom