Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo
Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe
Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu
Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,
Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death
Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...
Arusha imezidi mwehu weeVp kule Mtwara, kule Tarime, Songea mjini na Kilosa ni Lema pia. Fungua fahamu mheshimu mbunge wetu nyang'au mkubwa wewe!!!!
Kusoma siyo kuelimika!!!Hujawaona ma profesa hata kutawala nyumba kumewashinda?USIWE MTUMWA WA FIKRA
Duh! Pumba zingine hata haijulikani ni za mpunga au za mahindi...
Kwa hiyo wabunge wanashughulikia mambo ya siasa tu...
Kwa hiyo kwenu ni mashoga? Babu zako na baba zako wanapumuliwa kumbeSiongei na we maana jina Lako Ifweer kwa kikwetu ni mtu anayeliwa kiboga
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Mbunge bwana kuwa hata na kadigirii kamoja ingesaidia sana
hawezi kuiacha.Nakupongeza kwa kuacha 300,000 na kwenda kuwajulia hali watu wako.
Nchi hii tuna shida kubwa.
Neno maajabu kwako limekuwa siasa?
WTF!
Nikikumbuka jinsi katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kilewo alivyommwagia tindikali musa tesha kule igunga, naona hawezi kushindwa kutekeleza hili tukio la arusha, jinsi lwakatare alivyokamatwa na ile video yake akipanga ugaidi hawezi kushindwa kutekeleza hili la arusha. Wanaweza kushirikiana hawa
Nani kakuambia ukiondoka bungeni haupokei posho?Nakupongeza kwa kuacha 300,000 na kwenda kuwajulia hali watu wako.
Kileo,lwakatare na ben sa8 ndio wanaohusika, wewe ni msukule tu hujui lolote,unatumika kama ndom unatupwa chooni huna thamani tena. Chopa 3 kata 3 ndio mpango mzima,chadema imebaki arusha mjini tu kwingine tumeshaizikaMm nikikumbuka rais wako na chemba na polic walivyorusha mabomu yote hata hilo ni wao wametuma watu,
Kama hukubalian na mm jiulize kwann? Kikwete hatak kuunda tume ya majaji huru?
Jiulize ww rais wako amehusika tunakila sababu,
Au njoo arusha usema chadema ndo wamehusika uangalia kama hujarud mguu mmoja kule,
Tutakubandua kiboga ile mbaya!!
Lema,Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
Nina mashaka na mbowe na dr slaaNina mashaka na mkuu wa mkoa huo
kadigirii ni nini?Mbunge bwana kuwa hata na kadigirii kamoja ingesaidia sana
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.