Majaribu makali anayopitia mwanadamu hapa duniani. (hii dunia ina majaribu sana)

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,966
Reaction score
2,200
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa na idadi kubwa ya washirikina.

Huduma yake ikafanikiwa kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kuwafungua wengi waliofungwa na vifungo vy kishirikina uchawi..akapata waumini wengi sana kanisa likaendelea kukua kila siku na idadi ya waumini kuongezeka kila uchwao.

Washirikina wa eneo hilo wakapata pigo kubwa maana wanakijiji wengi waliponywa.

washirikina hao hawakufurahi wakaweka kikao wakamtengenezea UGONJWA wa kansa...wakamtupia ukampata..

Na Mungu aliruhusu hilo jaribu limpate kama ilivyokuwa kwa AYUBU wa kwenye biblia (Jaribu ni mtaji wa kuongeza imani)
Mungu hataruhusu jaribu lililo nje au juu ya uwezo wa mwanadamu,majaribu tinayopata ni yale ambayo ni ya kawaida kwa mwanadamu,na Mungu huwa anaweka na njia za kutokapo,mlango wa kutokea kwenye hilo jaribu..

Sasa mtumishi wa Mungu yule alipopata huo uginjwa wa KANSA alipokwenda hospitali madokta wakamwambia huu ugonjwa hauponi hauna tiba hospitali..

Mtumishi wa Mungu akahuzunika sana akakata tamaa ,akamkasirikia Mungu...akasema yani Mungu umeruhusu huu ugonjwa wa kansa unipate mimi mtumishi wako pamoja na kikutumikia kwa kiasi hiki chote..kujitoa kwangu kote ..kufanya kazi yako ina maana huioni ..ndio ukaamua ukubali nipate huu ugonjwa...akamchukia sana Mungu..

Katika wale wachawi mmoja wapo ni mtu wake wa karibu kanisani..

Akamfuata mtumishi akamshauri...kama hospitali wamwshindwa kukutibu..jaribu nikupeleke kwa MTAALAMU anaweza kukuponya kama huko kwingine wameshindwa ...

Mtumishi akamkasirikia Yesu akasema ..Kama wewe Yesu umeruhusu niumwe basi ..acha nijarubu kwingine..

Akaenda kwa mtaalamu sangoma mganga wa kienyeji..ambaye naye ni mshirikina ..ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu kwakua ..kanisa lake na maombi ya kanisa lake yalikuwa yanaleta uharibifu mkubwa katika kuathiri nguvu zao na mambo yao ya kishirikina ..alikuwa maombi ya walokole yanavuruga na kuharibu kabisa kazi zao za kishirikina..

Siku ya nne tu toka aende kwa mtaalamu mtumishi akafariki..

Mungu ni Mwaminifu: 1 Wakorintho 10:13 inasisitiza kuwa Mungu hataacha ujaribiwe kupita uwezo wako, bali atafanya mlango wa kutokea.

Yakobo 1:2-18
Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali, kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu. Muwe na hakika kwamba uvumilivu wenu utawategemeza mpaka mwisho, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote

1 Kor 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

Mwanzo 22:1-2 ”Ikawa baada ya mambo hayo MUNGU alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.”

Mathayo 24:13 ” Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.”

Zaburi 11:5 ‘’BWANA humjaribu mweyehaki Bali nafsi yake humchukia asiye haki na mwenye udhalimu’’
Jaribu la MUNGU ni kipimo tu cha MUNGU kama kweli unampenda.

AYUBU ALIJARIBIWA AYUBU NI MFANO BORA WA MWANADAMU ALIYESTAHIMILI MAJARIBU NANKUSHINDA ...soma kitabu cha AYUBU katika biblia.
 
lakini zama za ayubu si kama zama za sasa, na pia ukiisoma biblia sana utaona Mwenyez Mungu alikua akiwatokea watu wake mfano "Bwana akanena na Ayubu akisema......",, saivi hayo mambo hayapo kabisa tumebaki kusoma historia tusiyo ijua kama ni kweli au lah,, version ya saivi ni ngumu mno kuepuka majaribu yote au labda ni kwangu tu😔

Mungu ni yule yule habadiliki jana leo na hata milele.
Mungu anaongea na watu wake hata leo..anakusemesha rohoni,kupitia ndotoni,maono na ufunuo..

kizazi chetu hiko kuna watu wamepata maono na ufunuo na wameonana na Yesu ana kwa ana ..
hata mimi na wewe tukiwa karibu na Mungu naye atatukaribia ..na tutasikia sauti yake(kusikia sauti ya Mungu inategemea mahusiano yako)

Mungu ni Mungu aliye karibu..si kweli kwamba MUNGU yuko mbali hatusikiii sio kweli..

shetani ndio huwa anapandikiza mawazo kama hayo kwa wanadamu wanaotafuta uso wa Mungu kuwakatisha tamaa kuwaambia kuwa hawastahili kuongea na Mungu au Mungu yuko mbali awasikii ..huo ni uongo wa shetani..

23
Yer 23:23
Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali

Isa 59:1-2
Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.

sasa wakati mwingine maisha yetu ya dhambi na maovu yetu ndiyo vinavyotutenga na Mungu..

Mit 28:9 SUV
Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo

Mit 15:8
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.

Zab 34:15 SUV
Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.

Yn 10:27 SUV
Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.

MAHUSIANO YAKO NA MUNGU USHIRIKA WAKO NA MUNGU..vina husiana na kusikia sauti ya Mungu au Mungu kukusemesha.
 
lakini zama za ayubu si kama zama za sasa, na pia ukiisoma biblia sana utaona Mwenyez Mungu alikua akiwatokea watu wake mfano "Bwana akanena na Ayubu akisema......",, saivi hayo mambo hayapo kabisa tumebaki kusoma historia tusiyo ijua kama ni kweli au lah,, version ya saivi ni ngumu mno kuepuka majaribu yote au labda ni kwangu tu😔
Njoo nikuombee km umeshindwa kujiombea mwenyewe, mgonjwa anataka tiba ila hataki kuonana na daktari sasa mgonjwa ataponaje? Umeshawahi kuunguza mboga jikoni wakati unapika? Sasa kuna kipindi unaacha sufuria jikoni na kwenda kuendelea na mambo mengine, ndani yako kuna sauti inakwambia umeacha Sufuria ipo jikoni utaunguza mboga, haijawahi kukutokea? Unatoka unakimbia unawahi kwenda jikoni unafika kweli umeshaunguza unaepua na kufanya taratibu za kupika upya mboga nyingine, najua ishawahi kukutokea, sasa ile sauti inayokwambia unaunguza mboga najua unaijua ndio hio
 
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa na idadi kubwa ya washirikina.

Huduma yake ikafanikiwa kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kuwafungua wengi waliofungwa na vifungo vy kishirikina uchawi..akapata waumini wengi sana kanisa likaendelea kukua kila siku na idadi ya waumini kuongezeka kila uchwao.

Washirikina wa eneo hilo wakapata pigo kubwa maana wanakijiji wengi waliponywa.

washirikina hao hawakufurahi wakaweka kikao wakamtengenezea UGONJWA wa kansa...wakamtupia ukampata..

Na Mungu aliruhusu hilo jaribu limpate kama ilivyokuwa kwa AYUBU wa kwenye biblia (Jaribu ni mtaji wa kuongeza imani)
Mungu hataruhusu jaribu lililo nje au juu ya uwezo wa mwanadamu,majaribu tinayopata ni yale ambayo ni ya kawaida kwa mwanadamu,na Mungu huwa anaweka na njia za kutokapo,mlango wa kutokea kwenye hilo jaribu..

Sasa mtumishi wa Mungu yule alipopata huo uginjwa wa KANSA alipokwenda hospitali madokta wakamwambia huu ugonjwa hauponi hauna tiba hospitali..

Mtumishi wa Mungu akahuzunika sana akakata tamaa ,akamkasirikia Mungu...akasema yani Mungu umeruhusu huu ugonjwa wa kansa unipate mimi mtumishi wako pamoja na kikutumikia kwa kiasi hiki chote..kujitoa kwangu kote ..kufanya kazi yako ina maana huioni ..ndio ukaamua ukubali nipate huu ugonjwa...akamchukia sana Mungu..

Katika wale wachawi mmoja wapo ni mtu wake wa karibu kanisani..

Akamfuata mtumishi akamshauri...kama hospitali wamwshindwa kukutibu..jaribu nikupeleke kwa MTAALAMU anaweza kukuponya kama huko kwingine wameshindwa ...

Mtumishi akamkasirikia Yesu akasema ..Kama wewe Yesu umeruhusu niumwe basi ..acha nijarubu kwingine..

Akaenda kwa mtaalamu sangoma mganga wa kienyeji..ambaye naye ni mshirikina ..ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu kwakua ..kanisa lake na maombi ya kanisa lake yalikuwa yanaleta uharibifu mkubwa katika kuathiri nguvu zao na mambo yao ya kishirikina ..alikuwa maombi ya walokole yanavuruga na kuharibu kabisa kazi zao za kishirikina..

Siku ya nne tu toka aende kwa mtaalamu mtumishi akafariki..

Mungu ni Mwaminifu: 1 Wakorintho 10:13 inasisitiza kuwa Mungu hataacha ujaribiwe kupita uwezo wako, bali atafanya mlango wa kutokea.

Yakobo 1:2-18
Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali, kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu. Muwe na hakika kwamba uvumilivu wenu utawategemeza mpaka mwisho, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote

1 Kor 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

Mwanzo 22:1-2 ”Ikawa baada ya mambo hayo MUNGU alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.”

Mathayo 24:13 ” Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.”

Zaburi 11:5 ‘’BWANA humjaribu mweyehaki Bali nafsi yake humchukia asiye haki na mwenye udhalimu’’
Jaribu la MUNGU ni kipimo tu cha MUNGU kama kweli unampenda.

AYUBU ALIJARIBIWA AYUBU NI MFANO BORA WA MWANADAMU ALIYESTAHIMILI MAJARIBU NANKUSHINDA ...soma kitabu cha AYUBU katika biblia.
umenifurahisha sana umeandika vyema kabisa, Mungu ameruhusu watu wake kujaribiwa ona hili andiko

Isaya 49:24-26
24 Je! Aliye hodari aweza kunyang'anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka?
25 Naam, Bwana asema hivi, Hata jeshi la wafungwa wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka yake aliye jabari wataokoka; kwa maana nitateta na yeye atetaye nawe, nami nitawaletea wana wako wokovu
26 Na hao wanaokuonea nitawalisha nyama yao wenyewe, nao watalewa kwa kuinywa damu yao wenyewe, kama kwa mvinyo mpya; na wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, Bwana, ni mwokozi wako, na Mkombozi wako ni Mwenye enzi wa Yakobo.
 
Amen 🙏🏽 Amen 🙏🏽
 
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa na idadi kubwa ya washirikina.

Huduma yake ikafanikiwa kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kuwafungua wengi waliofungwa na vifungo vy kishirikina uchawi..akapata waumini wengi sana kanisa likaendelea kukua kila siku na idadi ya waumini kuongezeka kila uchwao.

Washirikina wa eneo hilo wakapata pigo kubwa maana wanakijiji wengi waliponywa.

washirikina hao hawakufurahi wakaweka kikao wakamtengenezea UGONJWA wa kansa...wakamtupia ukampata..

Na Mungu aliruhusu hilo jaribu limpate kama ilivyokuwa kwa AYUBU wa kwenye biblia (Jaribu ni mtaji wa kuongeza imani)
Mungu hataruhusu jaribu lililo nje au juu ya uwezo wa mwanadamu,majaribu tinayopata ni yale ambayo ni ya kawaida kwa mwanadamu,na Mungu huwa anaweka na njia za kutokapo,mlango wa kutokea kwenye hilo jaribu..

Sasa mtumishi wa Mungu yule alipopata huo uginjwa wa KANSA alipokwenda hospitali madokta wakamwambia huu ugonjwa hauponi hauna tiba hospitali..

Mtumishi wa Mungu akahuzunika sana akakata tamaa ,akamkasirikia Mungu...akasema yani Mungu umeruhusu huu ugonjwa wa kansa unipate mimi mtumishi wako pamoja na kikutumikia kwa kiasi hiki chote..kujitoa kwangu kote ..kufanya kazi yako ina maana huioni ..ndio ukaamua ukubali nipate huu ugonjwa...akamchukia sana Mungu..

Katika wale wachawi mmoja wapo ni mtu wake wa karibu kanisani..

Akamfuata mtumishi akamshauri...kama hospitali wamwshindwa kukutibu..jaribu nikupeleke kwa MTAALAMU anaweza kukuponya kama huko kwingine wameshindwa ...

Mtumishi akamkasirikia Yesu akasema ..Kama wewe Yesu umeruhusu niumwe basi ..acha nijarubu kwingine..

Akaenda kwa mtaalamu sangoma mganga wa kienyeji..ambaye naye ni mshirikina ..ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu kwakua ..kanisa lake na maombi ya kanisa lake yalikuwa yanaleta uharibifu mkubwa katika kuathiri nguvu zao na mambo yao ya kishirikina ..alikuwa maombi ya walokole yanavuruga na kuharibu kabisa kazi zao za kishirikina..

Siku ya nne tu toka aende kwa mtaalamu mtumishi akafariki..

Mungu ni Mwaminifu: 1 Wakorintho 10:13 inasisitiza kuwa Mungu hataacha ujaribiwe kupita uwezo wako, bali atafanya mlango wa kutokea.

Yakobo 1:2-18
Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali, kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu. Muwe na hakika kwamba uvumilivu wenu utawategemeza mpaka mwisho, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote

1 Kor 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

Mwanzo 22:1-2 ”Ikawa baada ya mambo hayo MUNGU alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.”

Mathayo 24:13 ” Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.”

Zaburi 11:5 ‘’BWANA humjaribu mweyehaki Bali nafsi yake humchukia asiye haki na mwenye udhalimu’’
Jaribu la MUNGU ni kipimo tu cha MUNGU kama kweli unampenda.

AYUBU ALIJARIBIWA AYUBU NI MFANO BORA WA MWANADAMU ALIYESTAHIMILI MAJARIBU NANKUSHINDA ...soma kitabu cha AYUBU katika biblia.

Ayubu alijaribiwa kupita maelezo ,kwa mateso yote aliopitia Ayubu angekua mtu mwingine angemtukana Mungu sana,aliota majipu mwili mzima,mali zake zote ziliharibiwa akarudi ufukara wa hali ya juu,mke akamwambia oya mtukane Mungu mdhihaki Mungu ili ufe 🤣🤣🤣 ndiyo kosa alilolifanya huyo mchungaji 😂😂,kwa kweli Mungu 🤣🤣🤣 njia zake hazichunguziki, ndiyo ayubu akasema.

Ayu 1:21-22​

akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
 
lakini zama za ayubu si kama zama za sasa, na pia ukiisoma biblia sana utaona Mwenyez Mungu alikua akiwatokea watu wake mfano "Bwana akanena na Ayubu akisema......",, saivi hayo mambo hayapo kabisa tumebaki kusoma historia tusiyo ijua kama ni kweli au lah,, version ya saivi ni ngumu mno kuepuka majaribu yote au labda ni kwangu tu😔
kuna mambo Mungu alihaidi kutorudia kuyafanya, majaribu yanaepukika tu mbona inategemeana unampenda Mungu wako kwa gharama ipi ukimpenda vitu vingi sana utaweza kuruka viunzi,upendo ni gharama eti,
 
Back
Top Bottom