Majanga msaada tafadhali

Chink

Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
70
Reaction score
23
Password kwenye Bios dell e6400 mwenye kujua namna ya kutoa plz.
 
Toa cmos betry then iwashe na kuzima baada ya hapo ludisha betry.
 
mrudishie mwenyewe, inaonekana hiyo c yako
 
Ni yangu isipokuwa nilikuwa na install ddpa kwa ajiri ya simcard
 
Kiongozi nashindwa namna ya kutumia hii software

Mkuu kama unapc nyingine pembeni idaunlod hiyo software then iextract kwenye let's say flash disk alaf ukiwasha mashine yako At the command prompt type kwanza herufi ya hiyo drive yako eg. G: then type hii code below:
ctbios.exe /pw
 
Password kwenye Bios dell e6400 mwenye kujua namna ya kutoa plz.

Wala usiahangaike na ma software wala kung'oa cmos battery nenda kwa mafundi wa computer waifungue kuna ka chip cha bios ambacho kana hifadhi paswrd wakang'oe na hot air alaf baada ya dakika kadhaa wairudishie ngoma itakua mukide.
Angalizo: sihalalishi uwizi na kama mashine ni ya uwizi haitakubali kwa minajili ya mwokozi.
 
Kiongozi nashindwa namna ya kutumia hii software
  • Njia rahisi na yaharaka amekupa ndugu Brine .
  • Fungua hiyo PC yako, toa hicho kijibetri kidogo kilicho ndani, washa PC na endelea na ulichukua unataka kufanya, ukimaliza rudishia kijibetri.
 
Last edited by a moderator:

Hahaha wizi ushindwe
 
  • Njia rahisi na yaharaka amekupa ndugu Brine .
  • Fungua hiyo PC yako, toa hicho kijibetri kidogo kilicho ndani, washa PC na endelea na ulichukua unataka kufanya, ukimaliza rudishia kijibetri.
Mashine za mwaka 47 ndo labda utoe CMOS battery ila hzo generation za kisasa password zinahifadhiwa kwenye chip na hizo chip ni non- volatile (a read-only memory that retains its data when the power is turned off) sasa ukitoa hiyo battery ni sawa na kazi bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…