Majanga mapya ongezeko mshahara walimu.

Na nyie mmezid kulalamika! Walimu wenzenu wengine hawapendi! Mshahara ni private bwana. We una diploma karne hii unataka mshahara mkubwa?? Shukuru mungu hata kazi unayo. Fanya mipango ukasome sio kila siku kulia lia ovyo kama watoto bwana! Mshahara ni sir yako na uish kulingana na kipato chako! Mbona kuna watu hawana kazi na wanaish! Tatizo unatamani maisha kama ya FULANI ambaye hata shule tu alikuwa anakupita kila siku na kaz yake hata ukipewa hutaweza kufanya! Kama ualimu haulipi nenda uaskar
 
NDo mchukue Hatua sasa na sio kulalamika! mie nawakubali walimu wa sayansi No longolongo kwanza majority wanaingia mitini siku izi na wengi wanaoenda masomoni ndo wanabadiri na fani kabisaaaa....yan mwanaume mzima unaongezewa 43000/= next time wataigawa nusu ndo itakua increment yenu...narudia tena hamjalazimishwa kusomea ualimu km vilio vyenu havisikiki na hamthaminiki kwan muendeleze vieleele vya kusomea ualimu! sie twala bata ata wakiongeza 8% sarary hiyoooooooo ishu nitachoka kupay bill!
 
Hii ndo Tanzania ya matabaka, ila tutawakomesha tu, wanamwaga mboga tunamwaga ugali
 
Mtihani wa necta umekaribia, hiyo ndo kabali yao. Jitaidini kuongeza zero mpaka kieleweke. Halafu wekeni bao na karata ofsini, chezeni kamali.
 

TGTS C1!!! Ww utakuwa bado kinda kazini! Kuna wenzako wako F watapokea kama M1 na ushee kabla ya kodi
 

Wewe ni mwalimu kweli?
 
kwa mwendo huu naamini sln nikuhama hii sekta mana tutakufa na umasjini wetu huku maporin tunakofanyia kaz ikiwa hadi bodaboda wamepandisha nauli mahitaji tunafuata mjini,itakuaje ndugu walim tusaidiane kupigania tukishindwa boro kutemana tu.
 
kwa ongezeko hilo kweli haya ni majanga kwa walimu nawaunga mkono hata big result now isifanikiwe jamani walimu
 

Sasa mkuu unavyolaani na kuzomea hivyo, kwa hutaki watu wasomee ualimu? Hivi bila mwalimu wewe leo ungekuwaje? Hapo haujashiriksha ubongo vizuri.
 
Msafwa wa swaya bado unaweza kufanya kitu na maisha yako yakabadilika na kutoka hapo ulipo. ukichukua hatua ya kujiendeleza japo kiduchu waweza badilisha hali yako ya maisha.
I still have hopes for all the teachers in Tanzania.




Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…