jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Nimeingia kwenye uhusiano na mdada mmoja alikua ameolewa sasa ameachana na jamaa yake na walibahatika kuzaa mtoto mmoja, sasa huyu dada haishi na mtoto, mtoto yuko kwa bibi yake Kijijini, nimekua namhudumia kwa kila kitu ni kama UN inavyohudumia wakimbizi na mimi nimekua nahudumia kila kitu.
Hivi Juzi kanieleza mtoto kafukuzwa shule ada inahitajika, sasa nikajiuliza inakuaje nitoe ada tena na baba wa mtoto yupo wadau hii imekaaje? Yaani hadi hamu ya papuchi imeisha p.umbu zote zimeingia ndani mi inabidi nile kona nisije nikafa siku si zangu maana hii mizinga ya syria imenishinda.