Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
hahahahah.......sijui huwa mnawazaga nini mwe!!
my protectee am looking for you!
hahahahah.......sijui huwa mnawazaga nini mwe!!
ss fikiria akakupiga picha na kuweka kwenye fb, na kuwatumia watu... ohhh dont tell me this, ss wewe bibie unampenda mtu hata hujamwona!? hii inashangaza, wadada bana!!! anyway!! usijaribu mama, kwanini ucisiwe mwaminifu na strong? eti! si unajenga heshima kuu!! nikupe siri wakaka hata kama alikuwa mzinzi vipi ukifika wakati wa kuona utacikia nacema, Aisee nataka mwamke aliyetulia nimuoe!!! ss wewe ambaye umeshavua vua hata online anakupotezea kwa sababu hujatulia.....................
Nawaonea huruma sana wadada zangu, kuna ugonjwa wa kukosa wenza wakati mnawahitaji, sasa akitokea mtu anaonyesah intrest utacikia haaa chemistry zetu zinafanana sana, kumbe analazimishia upendo hapo, kama ni mwanamaombi utakuta uck anamweka mbele za Mungu, Eee Mungu Yuke mkaka tu uciache akaenda, make him my husband! wadada msinirushie mayai viza... wengi wako hivyo
Cha msingi Tulia na Mungu, kuwa mwaminifu kwa Mungu na wanadamu... hebu kataa kuzini hata na akatishia kukuacha eti hujampa unyumba, atenda atarudi na Believe me atajivunia sana kuwa na wewe, na he will be confortable kwamba ulivyokuwa na msimamamo, hata akisafiri atakuwa na imani kubwa na he will be very relaxed. sasa kutu kidogo tu umevua, akikohoa umevua, subiri akuoe... walahi tena, atakuwa nawasiwasi akitoka kidogo tu atacema kimoyomoyo mke wangu atakuwa salama kweli... wasiwasi mingi....
up... nilikuwa napita nikajikuta naandika haya... kwaherini... lakini tunapaswa kuwa Binadamu na sio watu, binadamu anweza kukontrol hisia zake na kuwa na hofu ya Mungu.
kwaherini bye
Duh wewe Rose wewe ................. Mbona wataka kunifanya niku..... sasa hivi.
Uzinzi huo, kawaulize sodoma na gomora, hapa tunajadili nchi inavyokwenda kuzimu na vizazi vyetu
Hapo kwenye red nimepapenda sana Rose wangu.......bacha we ulie tu sasa, mtoto ashajimilikisha mwenyeweeeeeeee bila kokoro wala kukuru lol.nin tena womanizer wangu jaman?
maneno tu ayo ata ukutan yapo....USIOGOPE!!!!
Hapo kwenye red nimepapenda sana Rose wangu.......bacha we ulie tu sasa, mtoto ashajimilikisha mwenyeweeeeeeee bila kokoro wala kukuru lol.
mapenzi kuridhishana bana,,mwonyeshe akupende zaidi na zaidi....:coffee:
ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...
tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?
swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............
asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:
I am, kwa mwanaume aliyeacha wanawake wote duniani akanioa mimi......jamani,hilo mbona dogo kufanya,na zaidi ya hayo......:laugh::laugh:
Kaka mkubwa hii picha tushaihamishia kuleeeeeee.........sorry it is already closed to public scrutiny lolAisee:coffee::coffee:
enhee niambie unafanyaje kuchukua hizo picha?? weka hapa kwa faida ya wote wenzangu na mie tusiojua hio kitu...:twitch::twitch: