ss fikiria akakupiga picha na kuweka kwenye fb, na kuwatumia watu... ohhh dont tell me this, ss wewe bibie unampenda mtu hata hujamwona!? hii inashangaza, wadada bana!!! anyway!! usijaribu mama, kwanini ucisiwe mwaminifu na strong? eti! si unajenga heshima kuu!! nikupe siri wakaka hata kama alikuwa mzinzi vipi ukifika wakati wa kuona utacikia nacema, Aisee nataka mwamke aliyetulia nimuoe!!! ss wewe ambaye umeshavua vua hata online anakupotezea kwa sababu hujatulia.....................
Nawaonea huruma sana wadada zangu, kuna ugonjwa wa kukosa wenza wakati mnawahitaji, sasa akitokea mtu anaonyesah intrest utacikia haaa chemistry zetu zinafanana sana, kumbe analazimishia upendo hapo, kama ni mwanamaombi utakuta uck anamweka mbele za Mungu, Eee Mungu Yuke mkaka tu uciache akaenda, make him my husband! wadada msinirushie mayai viza... wengi wako hivyo
Cha msingi Tulia na Mungu, kuwa mwaminifu kwa Mungu na wanadamu... hebu kataa kuzini hata na akatishia kukuacha eti hujampa unyumba, atenda atarudi na Believe me atajivunia sana kuwa na wewe, na he will be confortable kwamba ulivyokuwa na msimamamo, hata akisafiri atakuwa na imani kubwa na he will be very relaxed. sasa kutu kidogo tu umevua, akikohoa umevua, subiri akuoe... walahi tena, atakuwa nawasiwasi akitoka kidogo tu atacema kimoyomoyo mke wangu atakuwa salama kweli... wasiwasi mingi....
up... nilikuwa napita nikajikuta naandika haya... kwaherini... lakini tunapaswa kuwa Binadamu na sio watu, binadamu anweza kukontrol hisia zake na kuwa na hofu ya Mungu.
kwaherini bye