isikupe shida!!mwambie na yeye akuonyeshe dick yake halafu uone kama utafikia kilele!!!ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...
tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?
swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............
asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] majambozi..online??? [/B]
ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...
tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?
swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............
asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:
Usije ukajaribu hata kidogo kutoa hiyo top yako acha kabisa tena mtu kama huyo kuwa nae makini hata wakati mkikutana maana anaweza akawa anachukua video bila wewe kujua siku ikija mmekorofishana kidogo tu umekwisha kila kitu hadharani ushauri wangu tu lakini dear
yaani wewe ndiyo kipimo cha wengi duh haya banammmmnh kwani yeye kutaja mzungu imekupuguzia nini?-mie imenirahisishia kujua kwao haya ni mambo ya kawaida na kufuatana na majibu ya hii thread wengi kwetu hili sio jambo la kawaida/hatuko tayari kulifanya...
Baambie baba baelezeeeeeeSasa wewe ulimtafutia nn au alimkubalia ili iweje,we vp bana...hebu ni PM nikutafute nikugaie shughuli pevu
Kuna majibu fulani ya mtoa thread yananipa picha kuwa hakuwa na nia ya kuuliza bali anajua na pengine huwa anafanya hako kamchezo, ila ameleta hii thread kupima kama watu hasa watanzania watasapoti hako kamchezo
Kama alikuwa anaenjoy na hajui kama anaonwa ,sioni tatizo -no regrets lol
Thanks nahisi, baada ya kuona michango ya watu nahisi tatizo la wengi ni usalama, wengi wanahofia kuishia kuonekana kwenye mitandao mingine,ingekuwa kuna usalama katika kutumia hivyo vitu nahisi wengi hapa...hili lisingetutatiza :twitch::twitch::laugh:
Ameanza na Top ukishawezesha hilo anakuja na pedo. then ile ingine... hakuna mapenzi hapo ni matamanio tuu.Wizi mtupu..na ww dada yetu unawezaje kuzuzuka na online majambozi? Usithubutu kutekeleza matakwa yake atachukua screen shots ya hizo videos then tutazikuta Facebook and kwingineko.:coffee: be right back