majambozi..online???

majambozi..online???

apo ulipo unakata mauno ...sasa unauliza nin?
uyoga wangu kjana nautaka.

Halafu na wewe..................!!!!!!!!!

Hebu nionyeshe nyonyo yako kwa facebook kwanza!!!!!!
 
hahaha ahivi hajaufikishaga? Huyi usimsengwile...

Unajua nini kaizer,
Rose wangu huyu kigeugeu kweli,
leo unampelekea mbilimbi,anakwambia kwani nilikutuma hizo,
kidume unajipanga tena,
unampelekea ule msusa wa kutoka unyanyembe,
unaishia kufyonzwa tu!
Huu uyoga utaniua mwaka huu!!!!lol...
 
Dah kweli ukitaka wajukuu waje juu mguse babu! Lol, wenyewe wanasema babu "nyuki wa mashineni"!
 
namshangaa.....
sjui bacha kinamuuma nini sisi kumpelekea babu matiti yetu....kaizer ebu niombee kwa babu mwambie mjukuua
anataka kuja kukaguliwa BIDHAA.

Huna haja ya kutumia care of.......am here grandie.

Sogea pande hii nianze kazi yangu.
 
Ndo anakusubirisha ivo!
 
Dah kweli ukitaka wajukuu waje juu mguse babu! Lol, wenyewe wanasema babu "nyuki wa mashineni"!

Hivi we si bado unanyonya? Haya mambo ya Maria Roza yanakuhusuje?
 
namshangaa.....
sjui bacha kinamuuma nini sisi kumpelekea babu matiti yetu....kaizer ebu niombee kwa babu mwambie mjukuua
anataka kuja kukaguliwa BIDHAA.

Rose80,

Naona mwenyewe ameshado ze nidiful hapa.....umepata raha sasa ee

Huna haja ya kutumia care of.......am here grandie.

Sogea pande hii nianze kazi yangu.
 
asprin ni babu
hana madhara
anayaangalia akiyakagua zaid na si kimatumizi km wewe BACHA unavyoyafanya.

mmmmmmh!HAYA
KUKAGUA kunaambatana na ze following:

kuona,
kushika,
kunyonya,
kubinya,
kutekenya!!!!!!!n.k.
 
Hivi we si bado unanyonya? Haya mambo ya Maria Roza yanakuhusuje?
Kuna Ntu kaiba password ya kachanga! Ivi babu hutaki ka mjukuu ka kiume kawe kanacheza na wajukuu wako?
 
mmmmmmh!HAYA
KUKAGUA kunaambatana na ze following:

kuona,
kushika,
kunyonya,
kubinya,
kutekenya!!!!!!!n.k.

Aisee dogo mbona unazungumzia fani za babu?

You have been warned!
 
Kuna Ntu kaiba password ya kachanga! Ivi babu hutaki ka mjukuu ka kiume kawe kanacheza na wajukuu wako?

Sikumbuki kama nlishawahi kuwa na mjukuu wa kiume. Sikumbuki!
 
dada huyu jamaa asije akawa anatafuta picha za kuweka mtandaoni then siku moja ukajikuta umeanikwa, usimkubalie hata kidogo, kama kweli anakupenda asubiri siku mkionana kwani milima haikutani watu hukutana bana.
 
Back
Top Bottom