hivi naomba kwa mnaotumia skype mniambie kwa mfano mtu anaweza kukurecord au akachukua pictures?
i dont want to loose him we have a lot of chemistry between us!
kwa mume unaweza fanya sababu unajua na unamuamini hawezi fanya kitu kama hicho
achia matiti ila sura isionekane,wengine wanaonyeshana hadi nyeti zao.
mmmhhh huyo ambaye hata humfahamu sikushauri,watu hufanya hivyo....nimeona kabisa.....ila its unnecessary risk.....mnakuja gombana anatoa picha zote na hata wazazi+marafiki anawapa........it does not worth it,at least not now.....ndo maana JF una beep....kumbe una chombo cha online......l.o.l:laugh::laugh::laugh:
Habari za asubuhi Mwenyekiti lol!!!!!!yaano mi namtafuta kila nisipomwona huyu pauline,, sijisikii amani kabisa kumbe yuko fesibuku na sijui skype hata sijui ndo vitu gani.....:embarrassed::embarrassed::redfaces:
pauline hebu tutete kidogo....eeh😛ray2:😛ray2::coffee:
Habari za asubuhi Mwenyekiti lol!!!!!!
leo matiti, kesho ataombwa sura baada ya hapo zinaunganishwa tutashangaa tunaona picha za pauline kwenye jukwaa lileee.
Pauline,
Hayo mambo wanaweza kuyafanya watu wanaofahamiana vizuri. Mapenzi kwenye simu na mitandao kwa wapenzi siku hizi ni kitu cha kawada (na hapa naongelea ma-uzoefu). Ila kama ni kufanya na wageni basi labda iwe ni kibiashara zaidi. Kama mnapendana basi jitahidi muonane ili baada ya hapo kuwa na uhalisia zaidi! Vinginevyo usishangae kujikuta kwenye mbao za matangazo na majarida kibao!
Mwenyekiti ameamka anakuta wanachama wanataka kukaguana matiti kwenye sijui vitu gani....hii kazi Asprin alistaafu lini? hebu lete faili lake...
Aisee Pauline una hatari.........
Na hapo kwenye skriin utamkatiaje mauno sasa?
Oups sorry, kumbe uko kwenye mgomo!
Mwenyekiti niko hapa:
Hakikisha mwenyewe.........
The Following User Says Thank You to MWENYEKITI Kaizer For This Useful Post:
Asprin (Today)
Mmmmnnnhhh!!Pole my dear wala usifanye hivyo ,Kama anakupenda kweli ataheshimu maamuzi yako,lakini kama anakutaka kimapenzi tu
Huyo hakufai mie sikushauri kuanza kumuonyesha manyonyo yako kwa style hiyo kwani mmeo huyo? acha akununie :sick:
umeuliza swali la msingi sana
sasa hommie kazi yako umedelegate?