Majambo mbaya kitandani

dah! Ha,ha,ha,ha,ha,haaaa hii kal yan ha,ha,ha,ha,ha,ha....! Duu! Umeniua kitandan ha,ha,ha,haaa
 
nimeipenda hii mwanawane,nimecheka hadi nimemuamsha mama watoto,mbavu zanguuuuu
 
Nimecheka kwa Sauti hd nahisi kesho mama mwny nyumba ataitisha kikao kwa kuwa nimepga kelele! Umenifanya nimalize vyema sn siku ya leo! Asante!
 
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.

"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"
"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"

Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama kuku"

Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.

"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
"Sijawahi"
"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."

Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo! Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.

"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"
Harry lazima alikuwa amekunywa chang'aa heheheeh
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapa namuacha huyo mwanaume saa hiyo hiyo
Memo , unapaswa kutafakari kwanza Kabla hujaacha , Kumbuka kiapo, na madhara ya kuvunja mkataba ( unaweza kuishia kwenye dissasiter kama TZ vs Dowans)
 
aaaaaaaaaaaaaaah aaaaaaaaaaah hohohohoh huuuuuuuuuu! jamani mbavu zangu mieeeee!!!!!!!!!!!!!!!

Pumbafu Harry what are you doing umeniudhi sana mtu mzima ovyo !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmmh, sijui ni nina alifanya usafi wa hiyo makitu hapo kwa bed.
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:manake mmmmmmh
 
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.

"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"
"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"

Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama kuku"

Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.

"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
"Sijawahi"
"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."

Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo! Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.

"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"

Duh mkuuu umenivunja mbavu vibaya saaaanaa. Hii joke naweza sema kwa mwaka huu inaongoza labda baadaye itoke nyingine iipiku hii....Thanks B B
 
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.

"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"
"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"

Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama kuku"

Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.

"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
"Sijawahi"
"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."

Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo! Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.

"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"
Hivi vichwa vingine sijui vitatoka wapi... :sick:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom