Majambazi

FARID16

New Member
Mar 6, 2008
3
0
Jambazi linalouwa linapelekwa mahakamani anahukumiwa miezi mitatu kwanini isiwe hivi likisha hukumiwa polisi walipige risasi,
wao wanaua na wao wauliwe anaetumia silaha apigwe na risasi
anetumia panga apigwe na panga
 
Si kuna sheria za nchi yaani ki kakatiba ndio iko hivyo,lakini sio sahihi mi naona bora iwe haki bin haki,uhukumiwe kama vile ulivyofanya kosa lako. Lakini je sheria itaafiki?
 
Jambazi linalouwa linapelekwa mahakamani anahukumiwa miezi mitatu kwanini isiwe hivi likisha hukumiwa polisi walipige risasi,
wao wanaua na wao wauliwe anaetumia silaha apigwe na risasi
anetumia panga apigwe na panga

Hii ni kinyume cha utawala wa sheria.
 
Back
Top Bottom