Mimi huwa siwaelewi watu wa haki za binadamu kwenye matukio kama haya,mtu unamuua mtu ambaya hana hatia,mpita njia tu,ambaye hajui hili wala lile;pengine kawaaga watoto wake kuwa anakwenga kuwanunulia mkate kwa ajili ya kifungua kinywa cha kesho;au labda alikwenda kununua keki kwa ajili ya birthday ya mtoto,pengine mke wake alimwambia "dear"leo natamani mkate,,,,,,,,,,,,anaacha familia inateseka;watoto wake wanaweza kuwa watoto wa mtaani kwa kukosa usaidizi wa wazazi wawili,alafu mtu eti anafanya harakati kupinga hukumu ya kifo,kwa wauaji kama hawa.Mimi huwa siwaelewi.