Majambazi yaua segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi yaua segerea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by elimukwanza, Jun 13, 2011.

 1. e

  elimukwanza Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  LEO jioni kwenye mida ya saa 12 pale segerea kituo cha sanene majambazi mawili yakiwa na pikipiki yamevamia duka la kuuza vocha la jumla na kumpiga risasi kichwani muuzaji na kumuua papohapo.inasemekana majambazi hayo yalifika mapema na kuelekea saloon iliyopo karibu na duka hilo huku yakitegea muuzaji afunge duka mara yakamuwahi akifunga na kumuelekezea bastola kichwani yakimwambia toa fedha.aliposema hana papo hapo yakamuua.imesikitisha sana watu wamefunga biashara zao n wanaomboleza MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA MAREHEMU AMIN.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  inasikitisha sana. yote hii ni kwa sababu ya utofauti wa kipatao.
  Wadau nipo nchi ambayo mfagizi halipwi tofuati sana na mkufunzi wa chuo hii ni kutaka kila mwananchi aishi maisha mazuri
  hata sisi wageni tunaheshimika pia na watoto.Nina mda mrefu sijawahi silkia kuna wizi umetokea mahali au ujambazi hata kulala usiku hata usipofunga mlango hakuna woga. Tanzania bila kuwa na mfumo unaojali maisha ya wananchi wake, ufisadi ukakoma, maisha yakaboreshwa kwa kuongeza pato la nchi , uwezo tunao tuna rasilimali nyingi tu kama madini na gesi mpya iliogunduliwa na ambayo huuzwa gali sana kama sio ufisadi na 10% uchumi ungekuwa,watu wangekuwa na vipato,umeme ukaboreshwa watu wakajiajiri zaidi wizi ungepungua.'Nawashauri hao majambazi wawaibie hao mafisadi papa na wahindi wanaoutibia kila siku wawaache ndugu zetu wanaojituma.Poleni sana wafiwa.Tuanhitaji mabadiliko ya utawala kukomesha hali hii.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! Hii ni 'Bad News', Poleni ndugu, jamaa na rafiki mliokutwa na mkasa huu
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yamechukua chochote au yameua tu? Pole zao kwakweli. Inaonekana leo wameamua. Maana asubuhi tumesikia Mhimbili, saa hizi tena segerea? hii ni balaa mbaya sana. Nchi ya amani hii according to CCM, watu wanauana hivyo hadharani kabisa bado hawa jamaa wanaendelea kujinadi eti ni nchi ya amani? Bado tuna safari ndefu kwakweli.
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Askari wetu wapo BUSY na Migomo na Maandamano...
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  nina best wangu,mpiga box sweden,ana kiwanja segelea.bora tu aendelee kukaa huko stockholm,maana huku ni ushenzi tu
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Rest in peace mtu wa watu.
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Aisee poleni mliofikwa na msiba, naona majambazi nao wako busy kutafuta "sitting allowance" zao..
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Enzi za Kamanda Mahita zinaanza kurejea sasa! MNH then Segerea then...
   
 10. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  bad news,it's due to kipato na serikali haina miundo mbinu ya detect uhalifu kama huo save for maandamano. R.I.P mpendwa.
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  pumzik akwa amani muuza vocha wangu na bwana akuangazie mwanga wa milele
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  haaa jamani majambazi yamerudi tena kwa kasi ya kupaa maskini muuzaji wa wt,na nyie majambazi kwanini mtumie silaha za motooo! af ukute hela yenyewe mliyoiba mmegawana laki 3 af mmetoa roho ya mtu looool shame on you! najua humu pia majambazi yamo
   
 13. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa majambazi mara chache kufanya mauaji hasa maeneo ya mafisadi...huko ndiko kunaimarishwa ulinzi wa kufa mtu that's y mafisadi hayaamin kama hayo hutokea.
  Ila ingekua yanafanyika mara kwa mara maeneo yao japo wangejali.
  Ukienda polisi ya msimbaz ofisin kwa ocd utaona maeneo ya matajiri na mafisad yamechorwa...nahis likitokea tatizo itaulizwa ''hapo ni sehem gan?''
  Kama si kweli hizo raman kuonesha watu matajir za nin? Sijui na vituo vinginevyo?
   
 14. T

  Taso JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Bwana ametoa, bwana ametwaa.
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  naona sasa mbinu ya pikipiki imegunduliwa au ndio hayo hayo? maana siku moja matukio mawili na kote wameua na wametumia pikipiki
   
 16. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mh, very sad.
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Tanzania ya leo.... Inasikitisha sijui tunaenda wapi....
  May the deceased R. I. P
   
 18. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maisha bora kwa kila Mtanzania! Jana asbh Muhimbil na jioni Segerea! RIP
   
Loading...