sasa wewe ndo utuambie maana wewe ndo mleta taarifa bwana?Majambazi yako yanatikisa Kariakoo mida hii, yanatumia piki piki na yanasiraha nzito za kivita, walio eneo la tukio watupe taarifa zaidi.
Niko mbali naendelea kupata taarifa kwa simu kutoka kwa mtu aliyeapo, tatizo inaonekana amejificha kwenye duka na hawezi kuongea kwa uhuru sababu hawaaminiani na watu walioumo ndani pia.
Kwa kuwa wewe una mawasiliano na mtu aliyeko kwenye tukio, basi endelea kutujuza kinachoendelea kupitia huypo source wakoNiko mbali naendelea kupata taarifa kwa simu kutoka kwa mtu aliyeapo, tatizo inaonekana amejificha kwenye duka na hawezi kuongea kwa uhuru sababu hawaaminiani na watu walioumo ndani pia.
hiyo mkuu, si sahihi uko mbali, unawasiliana na mtu mwingine kwa simu, unatuhabarisha sisi kwa kutowaamini walinda usalama yaani polisi ,kisha unatoa hukumu kwa waliokamatwa.kuwa ni wahusika moja kwa mojayekua ,hutaki polisi itoe maelezo mengine baada ya mahojiano hayo ni mapungufu. mwambie anayekuhabarisha akusanye taarifa sahihi na za kina utuhabarishe kwa uchangiaji.Niko mbali naendelea kupata taarifa kwa simu kutoka kwa mtu aliyeapo, tatizo inaonekana amejificha kwenye duka na hawezi kuongea kwa uhuru sababu hawaaminiani na watu walioumo ndani pia.
wale polisi wa doria a vpikipiki vyao na Silaha wako wapo? ama wale kazi yao ni kukamata madereva wa daladala