marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
polisi walikuwa wanogopa kutupiwa kitu kizito chenye ncha kali....
Ha ha ha ha!!!Tanzania zaidi ya uijuavyo
polisi walikuwa wanogopa kutupiwa kitu kizito chenye ncha kali....
kwani wewe umechakachuaje hapo mbona mleta mada kasema CBA na hiyo NBC wewe umeipata wapi!!au macho yangu yamezeeka!
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya CBA iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.
dah sijui kwann hii ishu ilikosa coverageUsiulize IGP anasubiri mgao coz yule askari mzalendo aliejaribu kufichua siri za police na majambazi walimuua wenyewe police na kumtundika kama kajinyonga.
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya CBA iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.
Kama walikimbia kweli tuna mapambo ya police!na sisi raia tufanyaje kama hawa wanapiga ndefu za Hussein Bolt???
Kweli hii vita ya majimaji!!!
uNaendelea sasa
police msaada pls
nipo eneo la tukio ni
nyelele road
njoo pls hali ni tete sana
Vp umesalimika? leta mrejesho