Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Kijana mchapakazi Joseph Magesa amekutwa na mauti baada ya majambazi kumvamia na kumpora kiasi cha pesa alichokuwa nacho.Ni heri wangechukua pesa kuliko kuondoa uhai wa kijana mdogo ambaye alikuwa bado ana usongo na maisha.
Mungu amrehemu na amuepushe na adhabu ya kaburi.
*Msiniulize maswali zaidi ya nilichoandika hapo
Mungu amrehemu na amuepushe na adhabu ya kaburi.
Huyu dogo ni jirani yangu kule Ngara wamemuua kwa kumnyonga na kumtupa kwenye dimbwi la maji huko Rusumo.
Walimnyang'anya pikipiki yake na vocha za million moja as alikuwa ni agent was Airtel anazungushia watu vocha vijijini.
"dead too young little hustler"namuonea huruma sana mama yake as ana watoto wawili tu na huyo ndio alikuwa baba na mama kwa Bi Mkubwa wake..
*Msiniulize maswali zaidi ya nilichoandika hapo