Majambazi wawili wauawa na polisi Mikocheni karibu na Feza sekondari

Mkuu tafadhali nisaidie umeelewa nini hapo ?
Nikikuelewesha mimi ndio hutoweza kabisa kunielewa, endelea kuwa member wa JF umri wako ukiongezeka hapa utaijuwa miandiko ya watu wengi na utakuja kubaini wakikwambia kata kushoto wewe usikate bali kata kulia na wote utawakuta huko, yaliyomo yamooo.
 
Teh teh naona unakataa kiutu uzima kusema hata wewe hujui ,ila hamna tabu nimekuelewa Mkuu
 
Mwaka Umeanza Kila Mmoja Atavuna Alichopanda Atakula Alipopeleka Mboga
Ataota Moto Na Aliookota Nao Kuni
 
Tatizo hujui kama hujui, ingia jukwaa la intelligence unaweza kuanza kufunguka akili yako na huko utamjuwa vizuri Andrew.
Mimi sina tatizo na Andrew ,nimekuomba wewe uliyesema umemuelewa unisadie ,na kama umefuatilia nilichosema hapo juu ya Andrew usingesema maneno haya
 
kwa maana kwamba alishangaa wale wasichana kuwepo pale, mahala ambapo hawastahili kuwapo akagundua kuna ishu wanafukuzia,

au nimekosea
Sikiliza:
Mimi nitajaribu kidogo kufafanua hii post tata ya Andrew Nyerere.
Kuna watoto wadogo wamemuita kuwa ni kilaza. (Can you imagine?)
Hao watoto tukawa tunawashambulia nadhani hawajui kuwa wako wapi wala hawajali kuwa wanaongea na nani(kina nani)
Andrew Nyerere hajawajibu kitu ila kaja tu na hii post hapo.
Cha kufanya ni hao watoto wajitathmini kuwa wapo sehemu sahihi kweli kwa wakati huuu?

...... My thought......
 
Pongezi nyingi sana Kwa jeshi letu la polisi. Kazi nzuri sana!! Kazeni buti ili tutokomeze vitendo vya ujambazi!!
 
ongea lugha moja basi we kilaza
Aisee kuna watu kwa hakika kwa kupitia maandishi yao,hata kama siwafahamu mtu akiwaita kilaza/vilaza siwezi kupinga......ila kumwita Bro Andrew kilaza nitakubaliana na wewe ukiweka mlinganisho sahihi,ni kilaza ukimlinganisha na nani kwa mfano?......sikujui,unijui lakini naweza kucheza kamari kati ya wewe na Andrew wewe ni kilaza kwake kwa asilimia 100.
 
Polisi wanapata mafunzo ya hata kumsoma mtu kama ni mhalifu au la. Wizi unafanyka mbele ya polis na hawakamatw!!! Ukitaka kujua wanauwezo waibiwe wao, we!!!!! Mtaa mzima mtavurugwa kwa kisingizio cha kumtafuta mhalifu. Polisi wa Tz wana ujuzi wa hali ya juu sana, ila had wapende kufanya kitu.
 
Sikiliza:
Mimi nitajaribu kidogo kufafanua hii post tata ya Andrew Nyerere.
Kuna watoto wadogo wamemuita kuwa ni kilaza. (Can you imagine?)
Hao watoto tukawa tunawashambulia nadhani hawajui kuwa wako wapi wala hawajali kuwa wanaongea na nani(kina nani)
Andrew Nyerere hajawajibu kitu ila kaja tu na hii post hapo.
Cha kufanya ni hao watoto wajitathmini kuwa wapo sehemu sahihi kweli kwa wakati huuu?

...... My thought......
hat off Saint Ivuga
 
Aisee kuna watu kwa hakika kwa kupitia maandishi yao,hata kama siwafahamu mtu akiwaita kilaza/vilaza siwezi kupinga......ila kumwita Bro Andrew kilaza nitakubaliana na wewe ukiweka mlinganisho sahihi,ni kilaza ukimlinganisha na nani kwa mfano?......sikujui,unijui lakini naweza kucheza kamari kati ya wewe na Andrew wewe ni kilaza kwake kwa asilimia 100.
Kabla ya kumuita kilaza Andrew ni verified user unaweza soma biography yake na kumfahamu vizuri. Sisi wa longi akiongea tuna pause kutafakari ili tuelewe kaka kamaanisha nini. Anayemwita kilaza ni vilaza waliotukuka. You will never step on his foot looser.
 
jamaa akituma post yake unaweza ukatoka kapa.
unaipata maana yake kumbe ulichikidhania kina maana nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom