Majambazi wawili wauawa na polisi Mikocheni karibu na Feza sekondari

Andrew Nyerere

Verified Member
Nov 10, 2008
3,010
2,000
Majambazi wawili wameuawa na Polisi maeneo ya Mikocheni karibu na Feza sekondari, walitaka kuwaibia Wachina.

WhatsApp Image 2017-01-04 at 16.10.25.jpeg


Kati ya hao majambazi yupo jambazi wa kike na amejisalimisha kwenye mkono wa dola, huyu jambazi ndiye alikuwa dereva wao.

Majambazi wengine bado wanatafutwa.

Taarifa zaidi zinasema askari wamefanya patrol kwa wiki nzima hadi kufanikiwa kuwanasa majambazi hawa.

WhatsApp Image 2017-01-04 at 15.09.09.jpeg


WhatsApp Image 2017-01-04 at 15.21.17.jpeg


WhatsApp Image 2017-01-04 at 15.14.24.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom