Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,381
piga ua zaragaza zika fukua wewe lazima utakuwa chris lukos. .Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?
Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
Hii nchi ishakuwa kama Nigeria aisee
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?
Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
Umeamua kukimbia kashfa Rambirambi za Mwangosi eeeh
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?
Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?
Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
Hebu wewe jinias utuambie ni wakati gani majambazi watavamia na wapi?
Akili zenu ziko makalioni nyie kenge, mnadhani polisi ni Yesu watajua wakati majambazi wanavamia?
Kwa hiyo ulitaka ni risk maisha yangu kwa ajili yako?Kwi kwi ex cop, mbona intelijensia ya maandamano huwa mnaipata mapema? Au mnafikiri majambazi huwa yanakurupuka? Fanyeni kazi zenu, acheni kutumika. Ishini na raia vizuri mpate habari, ona sasa mnavua magwanda na kuwakimbia hata kabla hawajawaambia mfanye hivyo! Je mkiambiwa mvue na kukimbia mtafanyaje?
Kwa hiyo ulitaka ni risk maisha yangu kwa ajili yako?
Kwa uzuri gani ulionao??????
Kwa hiyo ulitaka ni risk maisha yangu kwa ajili yako?
Kwa uzuri gani ulionao??????
Kwa hiyo ulitaka ni risk maisha yangu kwa ajili yako?
Kwa uzuri gani ulionao??????