Majambazi wamevamia Kibaha

Majambazi wamevamia Kibaha

JJ10

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
282
Reaction score
133
Mliopo kibaha tujuzeni. Naambiwa kibaha mail moja imetekwa kwa mda wa dakika tano. Majambazi wamevamia supermarket wamefanya yao na wameua watu wawili ambao walileta ubishi kuwapa pesa. Mliopo huko tujuzeni yaliyojiri zaidi.
 
Duuuh
Yani leo polisi kujisahau kidogo na chadema watu wanafanya yao?
Wanalinda maandamano uku wanasahau kwingine?
R.I.P Walipoteza maisha
 
Polisi wamejipanga kuzuia maandamano ya chadema sii ujambazi
 
Policcm mibichwa maji kweli wao wapo busy na cdm intellegensia ya majambazi huwa hawapati kabisa!!
 
Polisi wote wapo bize na Mbowe ili kuwafurahisha wakubwa zao,majambazi wanatumia chance hiyo
 
Supermarket gani? Waliopo kibaha tunaomba habari kamili
 
Naambiwa kuna askari alikuwa maeneo yakaribu baada yakuona majambazi yana mashine za hatari eti kavua gwanda la juu kakimbia
kifua wazi kuogopa asijulikane na hao jamaa.
 
Naambiwa kuna askari alikuwa maeneo yakaribu baada yakuona majambazi yana mashine za hatari eti kavua gwanda la juu kakimbia
kifua wazi kuogopa asijulikane na hao jamaa.

angevua na suruali kabisa....
 
Mungu awasamehe maana hawajui walitendalo

Nyumbani mwa Bwana mavuno ni mengi ila watendakazi ni wachache
 
Policcm mibichwa maji kweli wao wapo busy na cdm intellegensia ya majambazi huwa hawapati kabisa!!
Hebu wewe jinias utuambie ni wakati gani majambazi watavamia na wapi?

Akili zenu ziko makalioni nyie kenge, mnadhani polisi ni Yesu watajua wakati majambazi wanavamia?
 
Majambazi wanatanua wiki yote hii kwa ubazazi wa polisiccm ambao wako busy na CHADEMA.
 
Naambiwa kuna askari alikuwa maeneo yakaribu baada yakuona majambazi yana mashine za hatari eti kavua gwanda la juu kakimbia
kifua wazi kuogopa asijulikane na hao jamaa.
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?

Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
 
Ilikuwa togwa aisee, usiombe ikukute popote
 
Back
Top Bottom