Majaliwa na Mpango hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi

Majaliwa na Mpango hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi

Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi.

Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
Screenshot_20250721-171617~2.png
 
Hoja yako ni dhaifu, sababu unataka kusema mkapa 2005 hakusikilizwa sababu watu walijua hatakuwepo Tena madarakani?

JK 2015 hakusikilizwa sababu watu walijua hatakuwepo tena madarakani?
 
Salmini yalimkuta kama haya alipotaka kubadilisha katiba ili awe raisi kwa miaka 15.
 
Samia alikamia sana muhula wa pili wa urais, akasahau kuwa mkamia maji hayanywi.
 
Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi.

Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
Kwa hiyo kama hautakuwepo, hakuna anayekusikiliza ?
 
Izo ni kete muhimu sana kwa kijani usione kwa juu wametulia kwa chini wapo kasi sana
 
Hivi mtoto wa mkulima tuseme kilimo cha maembe kinalipa sana au mana yupo kimnyaaa anajilia madodo yake mwenyewe ,inawezekana kuna kitu alikiona yule
 
Back
Top Bottom