Majaliwa Jackson ameajiriwa wapi na kitengo kipi?

Bado natafuta

Senior Member
Joined
Oct 3, 2021
Posts
144
Reaction score
151
Habari wakuu kama inavyosema title hapo juu. Ikumbukwe mwaka Jana ilitokea ajali ya ndege kule bukoba na hata hivyo alipatikana kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la majaliwa ambaye amejizolea umaalufu kwa ujasiri alioonesha kwa kuokoa maisha ya watu.

Je, majaliwa amepata ajira? Amepata ajira lini? Na ameajiriwa wapi?, Ni kitengo gani?
 
Niliona taarifa ya kumaliza mafunzo yake ameajiriwa kitengo cha jeshi la uokozi baharini. Habari nakumbuka ilikuwa inaeleza hivo
Okay, hivi ajira yake ipoje ameajiriwa Ile siku aliposema waziri mkuu kwenye msiba wa wale walipoteza maisha ama baada ya kuhitimu mafunzo?
 
Habari wakuu kama inavyosema title hapo juu. Ikumbukwe mwaka Jana ilitokea ajali ya ndege kule bukoba na hata hivyo alipatikana kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la majaliwa ambaye amejizolea umaalufu kwa ujasiri alioonesha kwa kuokoa maisha ya watu.

Je, majaliwa amepata ajira? Amepata ajira lini? Na ameajiriwa wapi?, Ni kitengo gani?
Tafuta interview ya Majaliwa na Millard Ayo utapata jibu lako
 
Okay, hivi ajira yake ipoje ameajiriwa Ile siku aliposema waziri mkuu kwenye msiba wa wale walipoteza maisha ama baada ya kuhitimu mafunzo?
Ndio ile siku aliyotamka waziri mkuu,tena baada ya pale akawa amepatiwa mtu wa ulinzi wa kumlinda yeye kama yeye
 
Back
Top Bottom