Majaliwa Jackson ameajiriwa wapi na kitengo kipi?

Majaliwa Jackson ameajiriwa wapi na kitengo kipi?

Majaliwa alikua mzee ambilikile mwasapile aliyechangamka....kaingiza watu mkenge balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dogo katumia vyema nafasi, na uzuri serikali ilikua inatafuta angle ya kupoteza mjadala wa kushambuliwa kwa uzembe ikaona dogo ndio mtu sahihi wa kumtumia kubadilisha upepo
 
Niliona taarifa ya kumaliza mafunzo yake ameajiriwa kitengo cha jeshi la uokozi baharini. Habari nakumbuka ilikuwa inaeleza hivo
Pesa nyingi ( kama Zawadi ) alizopewa, Sifa kem kem na Elimu aliyosomeshwa huko Kisiwani Zanzibar Kwake Yeye ni Ajira tosha na nitamshangaa nikisikia anasubiria Ajira.
 
Back
Top Bottom