Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,274
- 15,339
Ni bahati nzuri JF tunatumia majina bandia.Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Kusimama na wananchi gani? Chadomo opportunists au wananchi waropokaji?Atachukuliwa na wazee.. Hii nchi imejaa watu wajinga sana, PM angejikita kusimama na wananchi nadhani angejieweka kwenye nafasi nzuri mno.
Enewei nasikia Jimbo lake hakuna aliyechukua mpaka sasa
Kwahiyo wanaenda pale kusimamia ndoto zao? Pumbavu kabisaKwahiyo aache kusimama kutimiza ndoto zake na familia yake,asimame na wewe, PM siyo mjinga kihivyo.
Hata Lissu hapambanii wananchi kama hujui,anapambana kutimiza ndoto zake tu
Ukiwa chawa jitahidi uwe na akiliKusimama na wananchi gani? Chadomo opportunists au wananchi waropokaji?
Nyie nyumbu hamchoki na mapuuzi yenu ya kila siku? Acha uzushi wa kike, ht asipochukua itakuwa uamuzi wake. We kapuku badala uwaze mambo yako unamuwaza binadamu amekuwa waziri mkuu miaka 10? Huyo hana na hatakuwa na shida maisha yake yote. Fukara km ww badala ufikirie mikakati namna ya kutoka angalia unachowaza, familia zingine zina laanaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Kuna inavyo paswa kuwa na kuna ilivyo kulingana na uhalisia. Uhalisia ni kwamba viongozi wengi wa kiafrika na tanzania ikiwemo wanaenda madarakani kutimiza ndoto zao na za familia zao na kwa vizazi vyao vinavyo kuja.Kwahiyo wanaenda pale kusimamia ndoto zao? Pumbavu kabisa
Umecopy na kupaste post ya Sativa na hujatoa credit!!!Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Hivi Edo baada ya kukoma kuwa waziri mkuu, aliacha kugombea ubunge kwenye jimbo lake?Alipoteuliwa Biteko alipaswa kujua it's over...kuna namna yoyote atakuwa PM tena? Kama sio, anataka kurudi bungeni kufanya nini tena
Haya maneno yako yanaonekana kama mepesi lakini yana uzito flani hivi,ngoja niendelee kufuatilia taratibu...Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Mkuu Kina naji hao wenye nguvu hivyo wanaopiga hiyo ngomaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Unatamaniwa na ponjoro wa kinondoniAngejichukulia tu point tatu akapumzike, anaonekana kabisa hatakiwi anafosi fosi
Edo ni exception hakuondoka kwa mema....Sumaye na Mizengo mbona hawakurudi tena?Hivi Edo baada ya kukoma kuwa waziri mkuu, aliacha kugombea ubunge kwenye jimbo lake?