CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
kuna majaji waajabu sana, angalia yule rwakibabila wa arusha ni balaa tupu a.k.a jaji fasta or voda fasta
Ndugu naomba msilete siasa kwenye vitu vya msingi, majaji sio wanasiasa na hii kazi wamesomea, wewe uliyetoa maelezo hujui kinachosomwa na hao majaji utajuaje kama kakosea au hajakosea. Toa siasa zenu za kichaga hapa tumewachoka kwa huu ujinga mnaoendeleza
Where there is a wrong,there is a remedy.Take action if you are aggrieved by any decision of any brethren.Vinginevyo hii itakuwa siasa.
Nadhani wewe ni mmoja wa hao niliowasema!! All in all truth remains that the professionalism of these respected, Learned brothers is questionable!
Usikatae kila kitu, unatakiwa kutafakari kabla ya kukataa.
Soma vizuri Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tazania,1977 uone sifa za mtu kuwa jaji na ukimaliza kufanya hivyo uje na hoja ya majaji in question kutokuwa na elimu inayostahili, vinginevyo ushauri wa mayenga haukwepeki.
Wapendwa, nilisema humu hapo zamani, kuwa hiki kitendo cha JK kuwateua majaji kujaza nafasi eti kwa vile majaji hawatoshi kitaua the highly respected High Court of Tanzania. Angalia/soma judgements za hawa wateule, soma zipo nyingi wamezitoa, kuna mapungufu makubwa na kama zikienda Court of appeal zikasikilizwa na majaji watukufu wa zamani-Kimaro, Nsekela, etc to mention but a few, zitakuwa overturned majority of them if not all!!! Nawaheshimu sana, lakini wajiulize nafsi zao vile vile. You dont uplift a medical assistant to a medical doctor/specialist simply because there is shortage of specialist/medical doctors!! That is what JK did.!!! Tunawaheshimu sana tena sana, lakini wajitathimini kwa kusoma hukumu za akina marehemu Lugakingira, Katiti, Koroso etc etc. Nawaheshimu sana, sina nia ya kuwadharau, nasema ninaloliona kama mdau wa hii field. Naomba radhi kama nitawaudhi!!!
Sio jaji Mihayo tu,hata kesi ya mgombea binafsi ni majaji wakogwe ndio walitoa hukumu.Mkuu, hukumu ya jaji mstaafu Mihayo katika kesi ya babu seya mpaka leo watu wanaitilia mashaka, ukumbuke kuwa hata yeye amewahi kujaribu kuisafisha nje ya mahakam- unamaana hata Mihayo ni UPE?, naona kama uzi wako niwa kisiasa zaidi......
Katika Tanzania majaji ninaowaheshimu dead or alive Lugakingira and Mwalusanya na ukifuatilia serikali ilikuwa haiwapendi hata kidogo you could not influence them any how!
kama wanajifunza kupindua haki ni bora tusiwe na majaj!Ndugu naomba msilete siasa kwenye vitu vya msingi, majaji sio wanasiasa na hii kazi wamesomea, wewe uliyetoa maelezo hujui kinachosomwa na hao majaji utajuaje kama kakosea au hajakosea. Toa siasa zenu za kichaga hapa tumewachoka kwa huu ujinga mnaoendeleza
Ulichokisema ni sahihi kabisa Mr, lkni nna observation mbili. Kwanza. Majinaya Majaji wateule hupelekwa kwa Mh Rais (sio JK) kutoka mahakama ya Rufaa, na kuaminishwa kuwa hao watu wana uwezo mkubwa sn wa kuwa maJaji, kazi yk inakuwa kuapisha, unless umhukumu kwa kuapisha lakini sio kuteua.Wapendwa, nilisema humu hapo zamani, kuwa hiki kitendo cha JK kuwateua majaji kujaza nafasi eti kwa vile majaji hawatoshi kitaua the highly respected High Court of Tanzania. Angalia/soma judgements za hawa wateule, soma zipo nyingi wamezitoa, kuna mapungufu makubwa na kama zikienda Court of appeal zikasikilizwa na majaji watukufu wa zamani-Kimaro, Nsekela, etc to mention but a few, zitakuwa overturned majority of them if not all!!! Nawaheshimu sana, lakini wajiulize nafsi zao vile vile. You dont uplift a medical assistant to a medical doctor/specialist simply because there is shortage of specialist/medical doctors!! That is what JK did.!!! Tunawaheshimu sana tena sana, lakini wajitathimini kwa kusoma hukumu za akina marehemu Lugakingira, Katiti, Koroso etc etc. Nawaheshimu sana, sina nia ya kuwadharau, nasema ninaloliona kama mdau wa hii field. Naomba radhi kama nitawaudhi!!!
Ulichokisema ni sahihi kabisa Mr, lkni nna observation mbili. Kwanza. Majinaya Majaji wateule hupelekwa kwa Mh Rais (sio JK) kutoka mahakama ya Rufaa, na kuaminishwa kuwa hao watu wana uwezo mkubwa sn wa kuwa maJaji, kazi yk inakuwa kuapisha, unless umhukumu kwa kuapisha lakini sio kuteua.
Pili (hii ni minor obs) why now baada ya Mahanga kushinda? Did u say the same kwa Lema? Lisu na juzi Aeshi?:wave: