Majaji wa upe- shallow judgements | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaji wa upe- shallow judgements

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHUAKACHARA, Apr 24, 2012.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wapendwa, nilisema humu hapo zamani, kuwa hiki kitendo cha JK kuwateua majaji kujaza nafasi eti kwa vile majaji hawatoshi kitaua the highly respected High Court of Tanzania. Angalia/soma judgements za hawa wateule, soma zipo nyingi wamezitoa, kuna mapungufu makubwa na kama zikienda Court of appeal zikasikilizwa na majaji watukufu wa zamani-Kimaro, Nsekela, etc to mention but a few, zitakuwa overturned majority of them if not all!!! Nawaheshimu sana, lakini wajiulize nafsi zao vile vile. You dont uplift a medical assistant to a medical doctor/specialist simply because there is shortage of specialist/medical doctors!! That is what JK did.!!! Tunawaheshimu sana tena sana, lakini wajitathimini kwa kusoma hukumu za akina marehemu Lugakingira, Katiti, Koroso etc etc. Nawaheshimu sana, sina nia ya kuwadharau, nasema ninaloliona kama mdau wa hii field. Naomba radhi kama nitawaudhi!!!
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kuna majaji waajabu sana, angalia yule rwakibabila wa arusha ni balaa tupu a.k.a jaji fasta or voda fasta
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Nimesoma judgement yake, sidhani kama issues na facts alizoziadress Lwakibarila ni mpya. Zina precedents nyingi tu. Ajabu hakuna precedent hata moja aliyoinukuu. It is a common judicial maxim that analysis of the legal issue should be based/controlled by the decisions of earlier cases that have similar issues and facts to the case under investigations -stare decis- Be it binding or persuasive. Judgements za watukufu majaji hawa hazina that basic element of common law system which is a corner stone of our legal system. I will post some of the judgements for your perusal. Mimi sio mwanasheria, lakini.....!!
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wasomi hao bana...wenyewe wanajiita "learned".
   
 5. K

  KIGOMA KWETU Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu naomba msilete siasa kwenye vitu vya msingi, majaji sio wanasiasa na hii kazi wamesomea, wewe uliyetoa maelezo hujui kinachosomwa na hao majaji utajuaje kama kakosea au hajakosea. Toa siasa zenu za kichaga hapa tumewachoka kwa huu ujinga mnaoendeleza
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Sasa wachaga wametoka wapi!! You need to discuss issues na sio watu/personalities. Looks you are not informed leave alone being educated -notice the difference between an educated and an informed person. You are neither!!! Mtu kaweka hoja ichambue, discuss yaliyokuwa presented katika hoja yake. Usitukane! Hata majaji kama unasoma vitabu, kuna hukumu ambazo huwa zinakosewa, inabidi zifutwe kutoka kumbukumbu ya mahakama. tafuta kesi ya dibagula (Yesu sio Mungu uone kuwa mahakimu/majaji wanakosea hukumu kwa kiasi kikubwa. Usiwe mbishi bila hoja!!
   
 7. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Where there is a wrong,there is a remedy.Take action if you are aggrieved by any decision of any brethren.Vinginevyo hii itakuwa siasa.
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe ni mmoja wa hao niliowasema!! All in all truth remains that the professionalism of these respected, Learned brothers is questionable!
   
 9. B

  Bandio Senior Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usikatae kila kitu, unatakiwa kutafakari kabla ya kukataa.
  Soma vizuri Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tazania,1977 uone sifa za mtu kuwa jaji na ukimaliza kufanya hivyo uje na hoja ya majaji in question kutokuwa na elimu inayostahili, vinginevyo ushauri wa mayenga haukwepeki.
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  You might be wright, lakini if somebody does not deliver, them even with diplomas, he or she should be relieved of his duties. They dont deliver to one's professional expectations. Soma judgements zao kama nilivyosema kwenye original posting yangu, utaona mapungufu makubwa tena sana. Bandio soma judgements za Lugakingira, Katiti , Koroso, and many many others old judges/dead and alive you will notice the obvious professional defficiency of our learned judges.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hukumu ya jaji mstaafu Mihayo katika kesi ya babu seya mpaka leo watu wanaitilia mashaka, ukumbuke kuwa hata yeye amewahi kujaribu kuisafisha nje ya mahakam- unamaana hata Mihayo ni UPE?, naona kama uzi wako niwa kisiasa zaidi......
   
 12. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Sio jaji Mihayo tu,hata kesi ya mgombea binafsi ni majaji wakogwe ndio walitoa hukumu.
   
 13. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika Tanzania majaji ninaowaheshimu dead or alive Lugakingira and Mwalusanya na ukifuatilia serikali ilikuwa haiwapendi hata kidogo you could not influence them any how!
   
 14. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Na worry ya majaji wetu ni kuwa influenced na serikali. hawa walitenda haki, angalia hukumu zao how well reasoned
   
 15. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kama wanajifunza kupindua haki ni bora tusiwe na majaj!
   
 16. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ulichokisema ni sahihi kabisa Mr, lkni nna observation mbili. Kwanza. Majinaya Majaji wateule hupelekwa kwa Mh Rais (sio JK) kutoka mahakama ya Rufaa, na kuaminishwa kuwa hao watu wana uwezo mkubwa sn wa kuwa maJaji, kazi yk inakuwa kuapisha, unless umhukumu kwa kuapisha lakini sio kuteua.
  Pili (hii ni minor obs) why now baada ya Mahanga kushinda? Did u say the same kwa Lema? Lisu na juzi Aeshi?:wave:
   
 17. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Hii thread niliiweka kabla ya hizi hukumu. hata walioshinda/kushindwa hukumu za hawa watukufu zina mapungufu mengi. Bahati nzuri mimi ni mwanafunzi wa sheria mzee hivyo nazisoma sana na kuzilinganisha na za hawa watukufu - cases with similar facts and issues etc. Utaona mapungufu makubwa. Kama nilivyosema, ninawaheshimu sana. Tatizo nikuwa hawasomi sana!!!! Nimekuja kuona kama unataka kuandika hukumu ya haki and professional lazima usome precedents nyingi kujiridhisha kuwa hauendi nje ya kilichamuliwa nyuma kama kuna similar facts and issues.

  Angalia kesi ya Dibagula-Yesu sio mwana wa Mungu mfano mmoja ingawa ilitolewa na PRM- Majaji walimtukana kabisa!!!
   
Loading...