Majaji wa kuwatumbua ni hawa hapa

Majaji wa kuwatumbua ni hawa hapa

Kwasasa Pale Kwenye Upande Wa Majaji Kuna Hawa Majaji Wawili
Jaji Mama Mashaka
Jaji Awadh
Hao Ni Watu Wa Systems Muda Siyo Mrefu Kitajulikana Kuhusu Tuhuma Za Hao Uliowataja
 
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Umewasilisha Majungu.
Pia, Unaugua maradhi ya kukurupuka.

Taarifa tu,
Hayupo na hajawahi kuwepo jaji mwenye Shahada ya Uzamili na mwenye jina la FAIZ TWAIB.

Hii ni Mihemko yenye Wivu iliyorutubishwa na kimbelembele cha Unafiki wa Waliokosa cha kufanya.

Whistle blower hujui hata Jina sahihi la unaemchongea?

Goddammit!
Mtakuwa Wachawi Uzeeni nyie.
 
Unaona ajabu kuchunguzwa mnaleta taarifa zenu za majungu hapa kama ushaidi unaopeleka Polisi

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VIPO, VITAFANYA KAZI YAKE...NA COMMISSIONER WA MADAWA ALISHASEMA WANAANDAA USHAHIDI KWA AJILI YAO KWA AJILI YA IMPEACHMENT...!
 
Wabongo hivi sasa tumekua na maisha ya wivu kwa mwenzio

HAKUNA KITU KAMA HICHO...LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LINAKUJA...KUWA MPOLE UCHUNGUZI DHIDI YAO COMMISSINER WA MADAWA YA KULEVYA ANAFUATILIA JUDGEMENT ZAO...ILI WAOMBE IMPEACHMENT..!
 
Umewasilisha Majungu.
Pia, Unaugua maradhi ya kukurupuka.

Taarifa tu,
Hayupo na hajawahi kuwepo jaji mwenye Shahada ya Uzamili na mwenye jina la FAIZ TWAIB.

Hii ni Mihemko yenye Wivu iliyorutubishwa na kimbelembele cha Unafiki wa Waliokosa cha kufanya.

Whistle blower hujui hata Jina sahihi la unaemchongea?

Goddammit!
Mtakuwa Wachawi Uzeeni nyie.

NI FAUZ TWAIB KWA SASA NI JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MTWARA..! NA NI DAKTARI WA PhD...!
 
Ongezea na wale waliosilikiliza ile kesi ya samaki na kuwapa ushindi yaani mwizi nimkamate kwenye nyumba yangu na kidhibiti halafu nimpeleke mahakani eti anionekane malaika na fidia nimlipe mpaka leo nikiwaza huwa napata kizunguzungu.

TUNAHITAJI WAZALENDO WA KUONGOZA MAHAKAMA ZETU KWA HAKI...NA SIYO KWA RUSHWA...!
 
Sasa nyie mnaoleta mambo haya mnafanya mambo haya bila kujua:
- Mnathibitisha kuwa kweli Mahakama yetu haiko huru maana majaji wanashtakiwa kwa rais
-Kwamba mahakimu na majaji wanafanya kazi kwa hofu ya kushtakiwa
-Uvumi wa TISS kutumika kuwatisha majaji kwa kurekodi simu zao na kwenda kuwaona kuhusu
kesi fulani fulani, ni za kweli
-Kwamba TISS haina kazi nyingine hivi sasa kuchunguza mambo haya ya kuoneana wivu
-Tume ya Mahakama na vyombo vingine viiachie TISS kazi hizi

Twaafa

KWA HAPA TULIPOFIKIA, NI VEMA IWE HIVYO TU...HII IDARA YA MAHAKAMA INABIDI JUDGEMENT ZA MAHAKIMU NA MAJAJI KUWEPO NA INDEPENDENT BODY ZA KUZIFANYIA AUDITING...KAMA ILIVYO OFISI YA CAG...!
 
Kwasasa Pale Kwenye Upande Wa Majaji Kuna Hawa Majaji Wawili
Jaji Mama Mashaka
Jaji Awadh
Hao Ni Watu Wa Systems Muda Siyo Mrefu Kitajulikana Kuhusu Tuhuma Za Hao Uliowataja

HAO MAJAJI WANAJULIKANA KAMA VODA FASTA...ULIZA HATA MPIKA CHAI WA IDARA ZA MAHAKAMA WANAWAFAHAMU HAO KAMA VODA FASTA (JUDGEMENT ZINAANDALIWA MBILI MBILI, UKIFIKA DAU...NA UPEWA WEWE HAKI BADALA YA JAMHURI AU MWENZAKO MLIYEFIKISHANA NAO...!
 
Kwasasa Pale Kwenye Upande Wa Majaji Kuna Hawa Majaji Wawili
Jaji Mama Mashaka
Jaji Awadh
Hao Ni Watu Wa Systems Muda Siyo Mrefu Kitajulikana Kuhusu Tuhuma Za Hao Uliowataja
Hivi mbona orodha ni ya upande moja tu?
 
Impeachment ya jaji haiko rahisi kama unavyoifikiria, inachukua muda na hafanyi jaji mkuu au kaimu jaji mkuu, inafanywa na tume ya maadili ya mahakama kwa uchunguzi wa kina na kupeleka mapendekezo kwa jaji mkuu ya ama kuunda tume ya kijaji au kutounda na ndipo kama wakiona hakuna shaka juu ya mhusika ngoma inaishia hapo na jaji mkuu hawezi chukua hatua yoyote wakiona kuna haja ya kuunda tume ndipo anamshauri raisi aunde tume ya kijaji wasiopungua watatu na mmoja ni lazima atoke nje ya Tanzania (nchi za jumuiya ya madola) na hiyo tume baada ya uchunguzi ndio inayotoa mapendekezo ya ama jaji aondolewe kwenye nafasi yake au asiondolewe, na hapo ndio mwisho wake, na kumbuka huyo jaji hawezi kushtakiwa mahakamani kiutaratibu ukishakuwa jaji hutoshtakiwa kwa kosa lolote ulilotenda wakati ukitekeleza majukumu yako kama lipo
 
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
unamaanisha nini? ni pamoja na ile kesi ya ardhi aliyohukumu yenye allegation kwamba alichukua mil.400? ile kesi ya mzungu wanayotumia madogo siku hizi shule kama kesi ya kujifunzia?
 
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Sitaki kutetea ila nafikiri sio haki kuwahukumu au kuwataja waheshima hawa waziwazi tena kuwahusisha na maamuzi waliyoyafanya, mimi ninachojua
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Sitaki kutetea ila nafikiri sio haki kuwahukumu au kuwataja waheshima hawa waziwazi tena kwa kuwahusisha na maamuzi waliyoyafanya, kesi yeyote utashinda kama unaushahidi wa kutosha, ieleweke wazi kuwa maamuzi ya mahakama hizi ni tofauti sana na mahakama za kawaida kwani maamuzi yake hutolewa baada ya pande zote mbili kutoa hoja mbele ya jopo linalosikiliza, ambalo kwa upande wa serikali ni secretariat (ambao ni katibu wa Tribunal, waumbe wasiopungua watatu ambao wameteuliwa na waziri na ambao sio waajiriwa wa serikali na wataaalam wa masuala ya kodi ambao ni waajiriwa wa serikali n.k) kwa kawaida sio sahihi kumtuhumu Mwenyekiti kuwa amependelea maana kwa kiasi kukubwa hukumu huandaliwa na hao wataalam wa hayo masuala. Ninashauri tu ungepitia majukumu ya Mwenyekiti na utendaji wa hizi Mamlaka kuliko kutoa tuhuma kwa njia hii. Isitoshe tribunal pamoja na
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Sitaki kutetea ila nafikiri sio haki kuwahukumu au kuwataja waheshima hawa waziwazi tena kwa kuwahusisha na maamuzi waliyoyafanya, kesi yeyote utashinda kama unaushahidi wa kutosha, ieleweke wazi kuwa maamuzi ya mahakama hizi ni tofauti sana na mahakama za kawaida kwani maamuzi yake hutolewa baada ya pande zote mbili kutoa hoja mbele ya jopo linalosikiliza, ambalo kwa upande wa serikali ni secretariat (ambao ni katibu wa Tribunal, wajumbe wasiopungua watatu ambao wameteuliwa na waziri na ambao sio waajiriwa wa serikali wengine ni wataaalam wa masuala ya kodi ambao ni waajiriwa wa serikali n.k) kwa kawaida sio sahihi kumtuhumu Mwenyekiti kuwa amependelea maana kwa kiasi kukubwa hukumu huandaliwa na hao wataalam wa hayo masuala. Ninashauri tu ungepitia majukumu ya Mwenyekiti na utendaji wa hizi Mamlaka kuliko kutoa tuhuma kwa njia hii. Ni vizuri kujua haya mambo kabla ya kutoa tuhuma kubwa kama hizi.
 
NI FAUZ TWAIB KWA SASA NI JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MTWARA..! NA NI DAKTARI WA PhD...!
Hayupo Mtu kama huyo pia Duniani kote.

Kumuongelea Mtu usiemjua hata kwa jina tu inatosha kuashiria agenda ya Siri inayoendeshwa pengine na mambo binafsi.

Ila kama hakuna Chuki ni ashirio la wazi Utakuwa Mchawi Uzeeni mwako.

Vinginevyo, Ni vyema unafanya mengine yenye tija.
 
Guys.Tuwe makini tunapotoa tuhuma kwa watu.Ukiasoma gazeti la Jamhuri,lina one sided story.This is unfair to the noble proffession.
 
Back
Top Bottom