Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,020
- 26,199
Hawa majaji wachunguzwe.
Mali za Jaji Mwenzangu Faudh haziendani na kazi anayofanya na utumishi wake wote.
Haikwepeki yeye ndiye aliyeamia kesi moja hapa mahakamani kwetu ya Marangakis' ambapo alimpa foreigner(mgeni)umiliki wa ardhi ilhali sheria ya ardhi ya 1999 inakataa mgeni kumiliki ardhi Tanzania.
Huyu kapangiwa Mtwara lakini kila siku yupo Dar anarandaranda.
Procedure za kumgoa na kutaifisha mali ni ndefu ila kwa mtukufu JPM hakuna linaloshindikana