Hivi hii 4% ndo imepanda kuwa 50% au vipi. Au 4% bado ipo . na hii 50% ni faida tu.?Yani hapo kwe 50/50. Ndio pazuri kuliko hata Dolla300M.
Hebu fikiri toka 4% mpaka 50%
Hivi hii 4% ndo imepanda kuwa 50% au vipi. Au 4% bado ipo . na hii 50% ni faida tu.?Yani hapo kwe 50/50. Ndio pazuri kuliko hata Dolla300M.
Hebu fikiri toka 4% mpaka 50%
Ndio maana serikali itakuwa na uwakilishi kwenye management. Tatizo zamani watanzania walishirikiana na wageni ku-under declare. Kama wanapata hasara wasingeweza kuendelea kufanya kazi kwa miaka yote hadi sasa.50% ya mgao wa faida? Mchanga machoni mwaaa
Siku zote 99.9% ya migodi hapa nchini hutangaza hasara sasa huo mgao utatoka wapi....
Goli la mkono hiloooo
Ha haa! Aibuu! Kubali tu umeshindwa. Barrick wamekubali sheria mpya za madini, wamekubali kujenga smelter, wamekubali kusaidia jamii zilizowazunguka zaidi, wamekubali kuweka faida zao kwenye mabenki yetu, wamekubali kuwepo Tz members wa bodi za migodi yao etc, this is from their spokesman kama umesikiliza. Those are Tz terms ewe nyumbu.ndio ni kweli kwani sasa taaifa limenufaika na nini kwa sababu hakuna kilichotoka na barrick wan set terms zao mpaka sasa barrick anasisitiza kusema kuna a lot of disputes zitakazohitaji a small committee sasa mbumbumbu mzungu wa reli unadhani Magu kawin au kafeli maana hadi leo ametoka nje kujieleza hakuna alichowin so far ngoma ipo pale pale Barrick wana set terms zao si alisema tutawafukuza mbona sasa wanapanga watakacho
Maajabu kwelikweli....hata trillion moja imefika kwelii hapo?
Trillion 1000Gharama ya mazungumzo ni kiasi gani?
Mkuu acha siasa kila muda chadema inaingiaje hapa wakati waliotufikisha hapa kina chenge ni maccm ila hawakamatwi so tuache vyama hapaDeni sio lazima lilipwe immeadeately likiwa kubwa! Hilo Deni laweza geuzwa kuwa hisa! Hiyo 50 kwa 50 kugawana faida ni njia mojawapo ya kulipa hilo Deni kuwa OK tunatanguliza dola milioni 300 halafu zingine tunawapa hisa grow Up man. Chadema mna akili ndogo mno
hiyo ni ya kurudisha imani,wakati wanapitia taarifa kadhaa
ELIMU HATARI
UMILILIK BARRICK WANA SHARE 64% NDIO WAMILIKI, SERIKALI 16 WADAU WENGINE 2O, HATA WEWE UKIWA NA PESA UNAWEZA NUNUA HISA,
KATIKA FAIDA NDIO HAPO SERIKALI 50% NA BARRICK 50%
USIBISHE KITU USICHO KIJUA UNAAIBIKA VIBAYA
Kwani aliwapeleka kwa pilato ni Barrick au AcaciaKuhamisha magoli nio sifa yenu kubwa.
Lini tunakwenda kushtakiwa na hao jamaa wa MIGA?.
Hizo bilioni zilikuwa ni za kodi.. wala sio fidia..Ngoja niweke rekodi sawa!
Tulikuwa tunadai Dola bilioni 190, kama tumepewa dola milioni 300
Hiyo ni Sawasawa na (300,000,000/190, 000,000,000)=0.00157903
Ambayo ni asilimia 1.58 ya pesa zote tunazowadai
Hatujalipwa Asilimia 98.42 ya pesa zote tunazowadai!
inaweza ikawa zaidi ya hapo,wamesema wanapitia vitabu kwanza,au Ngariba ulikuwa mbali na redio/tv?Kwahiyo zile trilioni 40 zilikua ni danganya toto?
0.158% ndio wametupa mkuu!Ngoja niweke rekodi sawa!
Tulikuwa tunadai Dola bilioni 190, kama tumepewa dola milioni 300
Hiyo ni Sawasawa na (300,000,000/190, 000,000,000)=0.00157903
Ambayo ni asilimia 1.58 ya pesa zote tunazowadai
Hatujalipwa Asilimia 98.42 ya pesa zote tunazowadai!
inaweza ikawa zaidi ya hapo,wamesema wanapitia vitabu kwanza,au Ngariba ulikuwa mbali na redio/tv?