MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

Just thinking aloud tumesaini mkataba mpya au ni mapendekezo, Wakati yule Prof anasema subject to approval by shareholders and there were meaningful disagreement.
Naomba waelewa ili nianze kushangilia kama tayari hela imewekwa

Umeelewa 100% correct hizi zingine mbwembwe
 
  • 2. Wamekubali serikali itapata hisa katika migodi hiyo kwa asilimia 16 kama sheria ilivyotamka, lakini pamoja na kumiliki migodi hiyo kwa asilimia 16 kwenye mgao itakuwa nusu kwa nusu
?????????????????????



Naona kauli ya hapo juu aijaeleweka ingawa acacia wako straight kabisa
 
haha Lissu ndio kiboko yenu munamkumbuka kwa sababu ndio mzalendo namba moja Mungu amemupusha ili ashuhudie aibu kubwa ya Magufuli kugeuka magungo analambishwa hewa
Mwambieni arudishe pesa alizokula rushwa za accacia
 
Matokeo ya majadiliano mpaka sasa ni hatua nzuri kwa Taifa letu, kutoka kuwa shamba la bibi hadi kuwa wamiliki na wenye uamuzi wa mwisho kwenye shamba la bibi.

Historia haiwezi kufutika ila imetupa mwelekeo sahihi wa kulinda rasmali zetu.

tunajifarji ila si mbaya

barrck wanamilik 64% na serikali 16% wengine 2o% bora tumenunua hata hisa

faida itakayo patikana 50/50 (katika ulimwengu wa biashara haijwai tokea) kula sawa na aliewekeza zaidi

mwenge umetufanikishia ajabu hilo
 
Mungu hakutaka Lisu afe ili aje kuwaumbua baada ya kutaka kumuua ili acje akawaumbua. Sasa sibirini Lisu atakavyowaumbua kwa kuwaeleza watanzania ukweli na jinsi huo mkataba mpya inavyosema. Mkumbuke kuwa Lisu hakuwahi kuwa adui wa maendeleo Lisu siku zote anapigania watanzania kupata haki yao yaani kupambana na wezi wanaowaibia watanzania. Wanaomwona Lisu ni mpinga maendeleo hao ndio majizi wakubwa. Lisu alitaka tufuate sheria ili tuwabane vizuri. Hakuna mtetezi wa watanzania kuliko lisu. Wote wanaojipambambanua sasa soma historia zao nyuma utalia. Wamo katika list ya kuifilisi Tanzania. Ni wanafiki na wapenda sifa na rushwa. Ila muda utasema

Long live Tundu Lissu
 
Mkuu umeongea kejeli, matokeo yake umeshindwa kufahamika kama una hoja ya maana au ni wale wale wapingaji wa kila kitu.

Umeshamsahau yule aliyesema kuwa eti tutashtakiwa, eti sijui kuna kitu kinaitwa MIGA.

Huu ni mwanzo wa heshima, ni mwanzo wa kuyapigania maslahi yetu.

Angalau JPM ameanza na tangazo la heshima kimataifa. Alichokifanya hakiwezi kufanywa na kila mtu unayekutana nae njiani.

Sio gharama ndogo kuwa mzalendo, bali wale wanaowabudu kina MIGA bei yao ni kama zile nguo za mtumba, zinazouzwa mitaani.
Nikuunge mkono mkuu. Hata kama tunapiga kelele kwamba tumepata mabacho sio as anticipated....but at least ni wake up call kwa hao wezi.
 
uongo mweupe mie nawaambiaaaa msiwaamini hawa makinikia

You are right 100%

Eti majadiliano yalikuwa magumu mpaka karibia yavunjike halafu mwishoni unasema wamekubali kila kitu. Sasa mlikuwa mnasigana kwa kitu gani miezi minne?

Ni waongo, ni waongo, ni waongo wa kuchomwa!
 
Ngoja niweke rekodi sawa!

Tulikuwa tunadai Dola bilioni 190, kama tumepewa dola milioni 300

Hiyo ni Sawasawa na (300,000,000/190, 000,000,000)=0.00157903

Ambayo ni asilimia 0.158 ya pesa zote tunazowadai

Hatujalipwa Asilimia 99.842 ya pesa zote tunazowadai!
 
Back
Top Bottom