Majaabu ya jina JK na jina Anna

Majaabu ya jina JK na jina Anna

kitu Nilichopenda ni ushabiano wa Zambia na Malawi...Kwahiyo Joyce Banda LAZIMA APOTEZE KITI CHAKE CHA URAIS KWA MPINZANI
 
We kama unawashwa jikune tu sio kudanganya watu hapa !!
Mi binti yangu wa kazi anaitwa Ana ila ndio kilaza ile mbaya.
Mkuu kila principle huwa ina exceptions na huyo wa kwako naona yuko kwenye kundi hilo
 
kuna juma kichwachini, huyu nouma aisee, uwa anapenda ile midude mikubwa etii. ila hiyo list yako mbona unawadanganya watu na huyo rais wa marekani? du div 5 at work.
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Tanzania 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Juma Kapuya - Waziri wa Tz 2000's
Joseph Kabila - Rais Congo Kinshasa 2000's
Joseph Kony - Kiongozi wa waasi Kongo 2000's
Juma Kaseja - Kipa maarufu Tz 2000's
Jamhuri Kihwelo - Kocha maarufu Tz
Jini Kabula - Muigizaji mahiri wa bongo movie
Juma Kassim - Rapper wa bongo fleva

Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

Ndani ya watanzania 40m??? u must be kidding....!
 
Mkuu wote hao uliowataja majina yao mara nyingi yanatajwa tu yale yenye JK. Lazima uelewe kuwa kuna mambo ambayo yanatokea na hayatokei kwa bahati mbaya. Mathalan soma hii story hapa halafu utajua ninachokimaanisha

Did you know about these historical
facts?
-1. Both Kamuzu Banda and Dr.
Kenneth Kaunda of Zambia were
longest serving presidents and
their roots are somehow not fairly
traced from Malawi and Zambia,
respectively. Both Kamuzu and Kaunda having a common slogan of
"Wamuyaya" (Life) had something
to carry in their hands as symbol of
authority. 2. President Bakili Muluzi,born in
1943, took over from Kamuzu
Banda. Fredrick Chiluba, born in
1943, took over from Kenneth Emily Mwasinga Kaunda and both Muluzi and Chiluba went on to seek a 3rd
term of office but failed after
extreme opposition to both bids.
Both Bakili and Chiluba divorced
their wives on alleged account of
infidelity. 3. Bakili Muluzi brought in Bingu wa
Mutharika, while Fredrick Chiluwa
brought in Levy Mwanawasa and
they both campaigned for them. 4. Both Mutharika and Mwanawasa
won those elections. 5. Shortly after being elected as
Presidents, both Mutharika and
Mwanawasa fell out favour with
Muluzi and Chiluwa respectively.
They both took their predecessors
to court over corruption. ___Now it gets interesting; Muluzi
was prosecuted by Mutharika
administration. Chiluba was also prosecuted by Mwanawasa
administration. Bingu Wa Mutharikha won a 2nd
Term of office; Mwanawasa won a
2nd Term of office. Mutharika chose Joyce Banda as
Vice President. Mwanawasa chose
Rupiah Banda as Vice President. Mutharika died in his 2nd term of
office due to Cardiac Arrest.
Mwanawasa died in his 2nd term of
office due to Cardiac Arrest - (both
deaths were predicted by Prophet
T.B Joshua). 6. Dr. Joyce Banda took over from
Bingu wa Mutharika due to death of
incumbent. Rupiah Banda took over
from Levy Mwanawasa due to
death of incumbent.
The people who took over from the dead Presidents in both countries
are named "Banda"! 7. After 3yrs, President Banda in
Zambia lost to veteran opposition
leader Michael Sata. Dr. Joyce Banda
faces election-on 20th May 2014. Are these facts just a mere
coincidences? This simply shows
that Malawi and Zambia exists on
the same prophetic pathway. Both
Malawi and Zambia got their
independence in 1964 and both use Kwacha for their currency.

I really like this post from the deep bottom of my heart, thats why I love jamii forum hahahahaaaa!
 
Pokea like.
 
Back
Top Bottom